ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hako kamji zaidi ya hapo CBD huko kwingine ni slums tupu😆
Ngoja paendelee kupauka..Ila Dodoma pamepaukaa!!!!!
Wadanganye..[emoji1787][emoji1787]..kwanza feasibility study ndio inaanza mwaka huu ... ujenzi sijui 2030 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja paendelee kupauka..
Njia 4 kutoa Mji wa Serikali Hadi City Centre.
BRT Loading after Dar ni Dom
Wivu 😁😁😁😁Wadanganye..[emoji1787][emoji1787]..kwanza feasibility study ndio inaanza mwaka huu ... ujenzi sijui 2030 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nione wivu Wakati sisi tuna project ya dual carriage km 80 na ujenzi soon unaanza[emoji28]🥸Wivu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Iko wapi? 😃😃😁Nione wivu Wakati sisi tuna project ya dual carriage km 80 na ujenzi soon unaanza[emoji28]🥸
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja paendelee kupauka..
Njia 4 kutoa Mji wa Serikali Hadi City Centre.
BRT Loading after Dar ni Dom
Mwanza itakuwa mwishoni mwishoni huko..Hii dart kwani ni dodoma na Dar tu, hapo nimeona majiji makubwa, na majiji makubwa Mwanza haikosekana kwenye top 2
Acha ujinga Dodoma nalo ni jiji! Tukijenga bunge, na maofisi ya serikali na tubarabara huko manyoni, tayari manyoni itakuwa ni jiji kuzidi mwanza, huu ujinga huwa mnatolea wapi?Mwanza itakuwa mwishoni mwishoni huko..
Majiji Tanzania ni Dar na Dom tuu
DomAcha ujinga Dodoma nalo ni jiji! Tukijenga bunge, na maofisi ya serikali na tubarabara huko manyoni, tayari manyoni itakuwa ni jiji kuzidi mwanza, huu ujinga huwa mnatolea wapi?
Wivu 😁😁😁Haya mapori na vichaka na ofisi kadhaa ndio vinasababishe udate.
Video ya hiyo slum unaita ibanda Iko wapi? Mbona unaweka kapicha kamoja? 😁😁Hii sehemu imeizidi nini ibanda👇👇
View attachment 2623733