ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mwanza Bado sanaUkame town ..[emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunaanza upyaaaaa[emoji116]View attachment 2626446View attachment 2626447
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza Bado sanaUkame town ..[emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunaanza upyaaaaa[emoji116]View attachment 2626446View attachment 2626447
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi ndugai..na hapa bado finishing mbona mtasanda[emoji116]
Hivyo ni vitu vidogo sana Kwa DomWapi ndugai..na hapa bado finishing mbona mtasanda[emoji116]View attachment 2628042
Kama ni Jiji kubwa mbona hakuna miundombinu kama Dodoma na Dar?ChoiceVariable unajihangaisha bure , Mwanza ni Jiji kubwa hapa TZ lina Manispaa mbili , utahangaika sana na kupost sana project za serikali , Mwanza hawategemei serikali , ngoja nikupe mfano : kwanza Brazil mji mkuu wao ni Brasilia umejengwa kiserikali ila maisha yapo Rio de Janeiro na Sao Paulo ,
Pili: Myanmar (Burma) mji mkuu wao ulikuwa Rangoon sasa ni Naypyidaw
Point yangu ni kuwa serikali inaweza kuweka miundombinu hapo kwa mahitaji yake ya sasa ila majiji Toka enzi na enzi yanajengwa na biashara , sasa hapo Dodoma Kuna biashara gani unaweza kufanya labda kuomba omba ! Ndio maana soko la Ndugai liko tupu mpaka Mama alisema wabalidilishie matumizi.
Watu wanatafuta fursa za biashara ndio maana wanakimbilia mijini, nyie biashara zenu za msimu tena wakati wa Bunge , kaa barabarani hapo Dom afu hesabu gari za abiria na mizigo zinapita hapo kwenda Mwanza afu hesabu zinazoishia hapo Dom , ndio maana Dodoma ni njia panda tu.
Hongera kwa picha zako lile bwawa, Mwanza walipewa ziwa bure na Mungu hawahitaji bwawa,
Nasikia jamaa wanapambana kinyama ili treni ya umeme ifanye kazi ili wawe wanarudi Dar jioni .
Hakuna anayetaka kukaa jangwani , mjini mjini tu
Wakati ukiendelea kutuletea NHC ..Kama ni Jiji kubwa mbona hakuna miundombinu kama Dodoma na Dar?
Ukiwa wa shaghalabaghala sawa,Loosers wa Mwanza mnajifariji sana..
Hizi hapa ni projects za serikali? Tuonyeshe za Mwanza