Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

housing_real_estate_dodoma_1683887114470608.jpg
 
Nione wivu Wakati sisi tuna project ya dual carriage km 80 na ujenzi soon unaanza[emoji28]🥸

Sent using Jamii Forums mobile app
Iko wapi? 😃😃😁

Yaani unazungumzia makaratasi wakati wenzio wanajenga km 120 Sasa hivi apart from ambazo zipo?

Za kwenye makaratasi ni hizo zilizokuchanganya na km 200 Kila upande bila kusahau inner Ring Road..

Mwanza kashindane na Mbeya na Arusha ,Dom hamuiwezi.
 
Back
Top Bottom