Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishasema Ilemela ni Mwanza na Mwanza ni IlemelaMpaka mwezi Feb dodoma walikuwa wamekusanya ...bilion 28 ..mwaka huu mkifikisha bilioni 40 kama mwaka Jana mniite fisi nipo hapà ......dodoma imeshafikia peak sa hv imeaanza kudrop [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... mwanza mpaka sasa bilion 22 ..gap la bilioni 6 tu ...View attachment 2599644
Sent using Jamii Forums mobile app
Tembeza dozii tuu, Mpaka maji waite mma Jangwa City[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2599801View attachment 2599802
Sent using Jamii Forums mobile app
Takataka nani anaangalia mpira kwenye ukumbi dunia ya leo
Ingekua Dodoma hii plaza ingeitwa Mall ☻Takataka nani anaangalia mpira kwenye ukumbi dunia ya leo
Huko kwenu si mnaiita ROSHENI, au nasema uongo jameni?
Mradi Mpya wa green rock city [emoji116]Haters watakwambia kumepauka [emoji23][emoji23]
Decent Streets and Housing in Dodoma City.View attachment 2603222View attachment 2603223View attachment 2603224
Sasa hapo ndio Kuna nini? Hilo ni Tangazo Wala sio render au mradi 😁😁
Mradi wa mji Mpya....green rock city....kama una hela kajipatie kiwanjaSasa hapo ndio Kuna nini? Hilo ni Tangazo Wala sio render au mradi [emoji16][emoji16]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Haters watakwambia kumepauka [emoji23][emoji23]
Decent Streets and Housing in Dodoma City.View attachment 2603222View attachment 2603223View attachment 2603224
Sasa hapo ndio Kuna nini? Hilo ni Tangazo Wala sio render au mradi [emoji16][emoji16]
Unakimbilia kutaja ushoga kama kweli wewe sio shoga.siwezi shka kiatu cha shoga mm