Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hakuna jiji litakalopata mradi wa BRT isipokuwa Dodoma tu, sio Mwanza, arusha, Tanga wala Mbeya, sisi tusubiri miaka 100 kama serikali ikiwiwa.
 
Hakuna jiji litakalopata mradi wa BRT isipokuwa Dodoma tu, sio Mwanza, arusha, Tanga wala Mbeya, sisi tusubiri miaka 100 kama serikali ikiwiwa.
View attachment 2636273View attachment 2636274
Tutapata baada ya sheria kubadilishwa kwanza .
Pili achana na hao wachumi kenge wasiojielewa , Serikali itatafuta funding Kwa.ajili ya Majiji,Majiji yataondoka kwenye vimiradi vya kubahatisha kama Tactic na kuingia rasmi kwenye DART..

Kumbuka Kuna Mpango wa TRC wa reli za Mjini usisahau nazo ni kwenye.majiji,hili ndio.litachelewa sana .
 
Wachumi wa serikali yenu hii wanasema sehemu nyingine ni hasara tu faida ipo Dar na Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…