Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Acha masikhara bro Mbeya ni Jiji kubwa lapaswa kuheshimiwa
Jiji kubwa ..lisalimie shikamoo.... mbeya haifai hata kuwa manispaa jiji chafu na lenye mabanda kila mahala
Anyway nitajie shopping mall iliyopo mbeya au bussines complex..wanazidiwa Hadi na Moshi wana NSSSF conplex
 
Kuna Kila kitu na Sasa mtakuja kupiga picha kwenye flyover na Barabara Kali ya njia 4 sio kama hivyo vituko vya huko Mwanza [emoji23][emoji23]
Flyover ya nyoko ..[emoji28][emoji28][emoji28]...kwenda zako huko ........ hvyo vifoot bridge au [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Flyover ya nyoko ..[emoji28][emoji28][emoji28]...kwenda zako huko ........ hvyo vifoot bridge au [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hasira za kukosa flyover au 😁😁😁
Mtakuwa mnakuja kupiga picha
Si unajua Barabara ya Sasa ndio.itakuwa diversion so tutakuwa na njia 6 🔥🔥🔥🔥
 
Mwanza to Nairobi.. nitajie international route ya dodoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
 
Kwa nini? Mtakuja kupiga picha Mbeya maana tunaanza kupata kabla ya Mwanza..
Hapo unazungumzia Igawa-Mbeya
Mbeya City
Mbeya Bypass
Iwambi bypass
With flyover [emoji91][emoji91]
Yaani niende Mbarali nikapige picha...?! ila mjini kuna mabanda... ukienda Mwailubi au Mbeya Pazuri mnaweza mkakutana washikaji wote... ndio uje ufananishe na Mwanza kweli...?!

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Aibu kwa taifa kuwa hapa napo ni jijini [emoji53]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona Mwanza imetajwa uni tag 😁😁

Mbeya na Mwanza hawachekani broo
 
Watafunga kwenye haya machaka ya semi arid?[emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…