ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hujui kwamba ujenzi unaendelea?Hizi render huwa zinadanganya sana
Hii meli walisema mwezi wa nane itaanza kusafirisha abiria mpka sasa sioni chochote kinachoendelea zaidi ya kubaki kama pambo pale Mwanza south port, hii nchi miradi ya mikoani huwa haipewi kipaumbele na huwa haina usimamizi.
Mwanza ambayo Huwa hawatuoneshi 😂😂😂
View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1711363387978912214?t=zWRjXHgtUH5jcJkfNVc9hA&s=19
Kazi inaendelea 👇Miradi kama hii ya zahanati na mashule kwa wilayani ni jambo zuri, lakini miradi ya hivi sio yakujidai majiji.
Wapi huko ambako Kuna kiwanda Cha meli?Mnapoteza bilion 300+ eti kwa kujenga kiwanda cha meli, mbona Mwanza huwa hamna kiwanda na meli zinajengwa hii ni njia za upigaji wa wazi wazi, nchi la ovyo sana hili taka taka kabisaa.
Huyu mama na watu wake wameshaanza kutuona sisi ni mambuzi ya kufugwa huu upumbavu si wa kufumbia macho, uwepo wa chelezo unatosha kutengenezea meli, Mwanza hakuna kiwanda cha meli na bado kila siku meli na vivuko vikubwa vinajengwa, leo hii wanataka kuiibia serikali zaidi ya bilion 300 eti kujenga kiwanda cha meli, tunaomba kama mnataka kujenga kiwanda mjenge kiwanda cha magari tuwaone.Wapi huko ambako Kuna kiwanda Cha meli?
Pili ni kiwanda Cha Serikali au Mwekezaji? Kama ni Serikali tupinge huu ni upuuzi.