Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Morogoro, Moshi na Iringa nakubali lakini huko kwingine hakuna kitu kwa kahama
Kahama imeizidi nini Sumbawanga zaidi ya mabaiskeli hapo mjini na mavumbi Kila mahala?

Kahama imeizidi nini Tunduma?

Kahama imeizidi nini Songea?

Kahama na Ifakara ngoma droo
 
Ukuaji wa mji na ukubwa wa mji unapimwa na nini? Je tunaangalia kigezo gani? Tunashindanisha uzuri wa mji au ukubwa wa mji au vyote?
 
Taja vitu tangible ,Mji unaweza kuwa mkubwa hata kama ni shaghalabaghala tuu ila not liveable
 
Kijiji Cha Mwanza mnaona haya mambo? Dom Stadium

View: https://www.instagram.com/p/CxsvKhPoVET/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Screenshot_20230927-172135_1.jpg
 
Hatua ya Govt Kupeleka Afcon Doodma na Arusha ni uthibitisho kwamba Dom Iko Juu ya Mwanza Kwa Kila kitu.

Mengine ni kujifariji so watu wa Mwanza na Mbeya tuendeleaa kupambania kwetu tushapigwa na kitu Kizito kichwani.
 
Tuendelee kupambania ujenzi wa madarasa, vyoo na zahanati na barabara za changarawe au sio.
 
Back
Top Bottom