ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
ππnaona full greenish alafu akina Mikdde na Haters wenzake wa Dom City wanakwambia Dodoma ni jangwa+jotokali+hakuna maji+hakuna miti+hakuna mvua+hakuna kilimo+hali ya hewa mbayaπ€£π€£
January 2024 Investments flow reportEndeleeni kujifarijiπ
Mwezi january ulikuwa mgumu kwa kanda ya ziwa lakini Dar na Pwani hazipoiJanuary 2024 Investments flow report
Dodoma 4 Project ,with over $7.7mln
Mwanza 0 project ,with zero Capitalππ View attachment 2906890
Harafu mnataka Ligi π€£π€£π€£π€£
Dodoma inajengwa na Serikali ππππππMwezi january ulikuwa mgumu kwa kanda ya ziwa lakini Dar na Pwani hazipoi
Wagogo wajengewe tu nyumba kila mwananchi na akae bure, sisi Mwanza tunajenga wenyewe hatutaki mbeleko za kijinga kama hizo.Dodoma inajengwa na Serikali ππππππ
View: https://www.instagram.com/reel/C3nkZkdibRw/?igsh=cnpzaTltc21hd3Z5
Haters wa Dom City akina Mikdde Quality Control na wenzake watakwambia huyo mwekezaji tajiri sio mzawa wa DODOMA....,πππDodoma inajengwa na Serikali ππππππ
View: https://www.instagram.com/reel/C3nkZkdibRw/?igsh=cnpzaTltc21hd3Z5