Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hakuna kitu hapo Dodoma namwona mshamba mwenzio anatuma michoro na miswada ya project za dodoma, mtasubiri sana.
Bwana kitombile naona umeishiwa hoja unaanza kutokwa na povu..nimekuuliza unauhakika hizo nyumba hamna??
 
Bwana kitombile naona umeishiwa hoja unaanza kutokwa na povu..nimekuuliza unauhakika hizo nyumba hamna??
Endeleeni kujengewa nyumba tu, hujue serikali imewaona hapo Dodoma hakuna watu wenye uwezo wa kujenga nyumba, na mtaendelea kusaidiwa adi kwa wake zenu.
 
Endeleeni kujengewa nyumba tu, hujue serikali imewaona hapo Dodoma hakuna watu wenye uwezo wa kujenga nyumba, na mtaendelea kusaidiwa adi kwa wake zenu.
Umeishiwa hoja umebaki kutapatapa tu.. hauelewiki mara nyumba hamna mara mnajengewa na serikali onyesha msimamo basi km mtoto wa kiume
 
mkianzisha battle mwanza msiitag kabisa.... Tanzania nzima daraja kama hili linapatikana mwanza tu
 
Umeishiwa hoja umebaki kutapatapa tu.. hauelewiki mara nyumba hamna mara mnajengewa na serikali onyesha msimamo basi km mtoto wa kiume
Wewe unataka nikuoneshe msimamo wa chini ya msimamo wa juu?
 
Utakuwa umetoka usingiz nimemeshakutumia zaidi ya 15 kama unataka mengine sema niongeze pamoja na mapicha kama unataka ligi tuendelee.
Unafikiri wote ni wageni wa mwanza, hayo majengo yote uliyopost yote ukiondoa hilo la tecno sijaona hata moja lakufukia ghorofa 9 kwa hapa kubali tu hamna
 
Ebu tuma supermarket moja iliyopo Dodoma nami nikutumi zaid ya mia moja.
Umesema zaidi ya mia hahahaa, sihitaji hata kumi nimeomba list tu hata majina 5 tu bila picha yanatosha maana list ya Dodoma tiyari nshatoa zaidi ya 11
 
Usijiliwaze mzee hiyo chinangali na Nyerere ulizozitaja narudia kukwambia hazina mpinzani nchi hii
πŸ˜—πŸ˜—πŸ˜—

Haya masehemu ya watoto ndio unajivunia?

Mgogo ni mshamba sana
 
Unafikiri wote ni wageni wa mwanza, hayo majengo yote uliyopost yote ukiondoa hilo la tecno sijaona hata moja lakufukia ghorofa 9 kwa hapa kubali tu hamna
ujue hawa wagogo wanatafuta kick tu umu majukwaani lengo lao ni kutaka kuipaisha dodoma ili ionekane kama mji wa maana sana kimbe si lolote si chochote....sababu hakuna mtu asiyefaham kama mwanza ni jiji la pili tanzania hapa ukiondoa Dar!! na ukitaja orodha ya majiji hasa tanzania yapo matatu ayo ndio yanatambulika kama majiji ya ukweli
( 1 ) Dar
( 2 ) Mwanza
( 3) Arusha
ukiangalia hata nick name zao zinapendeza.
Bongo au wenyewe wanapaita town
  • the rock city
  • A-town au chuga
yaan majina tu ukiangalia yanasadifu umaridhawa wa miji!
Mwanza ina ghorofa ya flow 17 jengo hilo lina sehemu kabisa ya kutua helkopta
maana kuna mdau kasema mwanza hakuna jengo refu linalozid flow 10 sasa nakutumia jengo moja tu halafu utanipa jibu kama hii ni mwanza au washington? utanitag babu
 
Asante mkuu, kwa kuja na picha kabisa ni wazi mpaka hapa wameshapoteana kikubwa tegemea visingizio tu, maana mwanza ninayoijua Mimi majengo karibia yote hayavuki flow 8 na ni machache sana yanafikia flow kumi sina hakika hata kama yanafika matatu
wagogo hiyo ndio
MWANZA bhaba the second city in tz serikali yenu pamoja na kubana kote lakini wanajua kama Mwanza ndio baba yenu ukiondoa Dar bado ukitoka Mwanza wagogo hamuigusi chugastan ...A town yaani nyie mnashindana na mbeya..sasa nashangaa hata huo ujasiri wa kushindana na mwanza mmeutoa wapi? Mwanza iyo once again msije mkahis ni new york city! angalieni roho zinavyowauma mnatamani kama hiki kimjengo kingekuwa kwenu....na hapo picha bado halijaanza vimijengo kama hivi mwanza vya kumwaga tu mbweha nyie.....!! msituchanganye umu majukwaan nendeni mkashindane na morogoro huko
MWANZA CITY GALLERY
 
Unaongelea dodoma ip?
Iliyopewa hadhi ya jiji na Magufuli juzi kwa lazma bila vigezo?
 
Wagogo walionewa huruma na Magufuli kuwa jiji wa kadhani wanastahili kuwa jiji.
Mama ametelekeza kijiji chao.
Subirini sheria ya makao makuu ibadilishwe muendelee kuomba omba.
 
Wagogo walionewa huruma na Magufuli kuwa jiji wa kadhani wanastahili kuwa jiji.
Mama ametelekeza kijiji chao.
Subirini sheria ya makao makuu ibadilishwe muendelee kuomba omba.
halafu wala hawakutakiwa wa battle na Mwanza wao walitakiwa waiambie serikali yao sababu serikali yao ndio inatambua kwamba Mwanza ni second city tanzania nzima hii, na kila mtu analitambua hilo na hata wagogo wenyewe wanalitambua hilo na kama hawajui Mwanza ni City tangu mwaka 2000 uko sasa hawa wamekuja kutangazwa juzi tu tena zile zilikuwa siasa tu leo hii eti wana battle aisee wanatia hasira sana hawa omba omba! magu kachukua nchi mwaka 2015 baadae kwasababu ya politics akaamua kuwapa wagogo heshima tu ya kuifanya dodoma kuwa jiji, wakati mwanza imekuwa jiji kabla hata ya wagogo wengine umu wanaokimbilia kuchangia mada hawajazaliwa...sababu mwanza kuwa jiji no zaid ya miaka 22 iliyopita uko wakati dodoma omekuwa jiji miaka 5 iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…