Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Hakuna kitu hapo Dodoma namwona mshamba mwenzio anatuma michoro na miswada ya project za dodoma, mtasubiri sana.Unauhakika zipo kwenye makaratasi ndugu kitombile..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu hapo Dodoma namwona mshamba mwenzio anatuma michoro na miswada ya project za dodoma, mtasubiri sana.Unauhakika zipo kwenye makaratasi ndugu kitombile..
Bwana kitombile naona umeishiwa hoja unaanza kutokwa na povu..nimekuuliza unauhakika hizo nyumba hamna??Hakuna kitu hapo Dodoma namwona mshamba mwenzio anatuma michoro na miswada ya project za dodoma, mtasubiri sana.
Endeleeni kujengewa nyumba tu, hujue serikali imewaona hapo Dodoma hakuna watu wenye uwezo wa kujenga nyumba, na mtaendelea kusaidiwa adi kwa wake zenu.Bwana kitombile naona umeishiwa hoja unaanza kutokwa na povu..nimekuuliza unauhakika hizo nyumba hamna??
Umeishiwa hoja umebaki kutapatapa tu.. hauelewiki mara nyumba hamna mara mnajengewa na serikali onyesha msimamo basi km mtoto wa kiumeEndeleeni kujengewa nyumba tu, hujue serikali imewaona hapo Dodoma hakuna watu wenye uwezo wa kujenga nyumba, na mtaendelea kusaidiwa adi kwa wake zenu.
Wewe unataka nikuoneshe msimamo wa chini ya msimamo wa juu?Umeishiwa hoja umebaki kutapatapa tu.. hauelewiki mara nyumba hamna mara mnajengewa na serikali onyesha msimamo basi km mtoto wa kiume
🤣🤣🤣 hakika umesahau na kigomaWanamwanza tumeamua battle iwe MWANZA vs arusha+mbeya+dodoma+tanga+kilimanjaro+morogoro
MWANZA View attachment 2082057View attachment 2082058
Unafikiri wote ni wageni wa mwanza, hayo majengo yote uliyopost yote ukiondoa hilo la tecno sijaona hata moja lakufukia ghorofa 9 kwa hapa kubali tu hamnaUtakuwa umetoka usingiz nimemeshakutumia zaidi ya 15 kama unataka mengine sema niongeze pamoja na mapicha kama unataka ligi tuendelee.
Umesema zaidi ya mia hahahaa, sihitaji hata kumi nimeomba list tu hata majina 5 tu bila picha yanatosha maana list ya Dodoma tiyari nshatoa zaidi ya 11Ebu tuma supermarket moja iliyopo Dodoma nami nikutumi zaid ya mia moja.
[emoji23][emoji23] ukiondoa dar, wengine wote waliobaki wakiungana +Zanzibar bado tunawakalisha[emoji23][emoji23]Wanamwanza tumeamua battle iwe MWANZA vs arusha+mbeya+dodoma+tanga+kilimanjaro+morogoro
MWANZA View attachment 2082057View attachment 2082058
😗😗😗Usijiliwaze mzee hiyo chinangali na Nyerere ulizozitaja narudia kukwambia hazina mpinzani nchi hii
Wa chini na wajuu wote umeshindwa kuonyesha sasa kilichobaki nionyeshe msimamo wa nyumaWewe unataka nikuoneshe msimamo wa chini ya msimamo wa juu?
ujue hawa wagogo wanatafuta kick tu umu majukwaani lengo lao ni kutaka kuipaisha dodoma ili ionekane kama mji wa maana sana kimbe si lolote si chochote....sababu hakuna mtu asiyefaham kama mwanza ni jiji la pili tanzania hapa ukiondoa Dar!! na ukitaja orodha ya majiji hasa tanzania yapo matatu ayo ndio yanatambulika kama majiji ya ukweliUnafikiri wote ni wageni wa mwanza, hayo majengo yote uliyopost yote ukiondoa hilo la tecno sijaona hata moja lakufukia ghorofa 9 kwa hapa kubali tu hamna
wagogo hiyo ndioAsante mkuu, kwa kuja na picha kabisa ni wazi mpaka hapa wameshapoteana kikubwa tegemea visingizio tu, maana mwanza ninayoijua Mimi majengo karibia yote hayavuki flow 8 na ni machache sana yanafikia flow kumi sina hakika hata kama yanafika matatu
Unaongelea dodoma ip?Mtu amekaa zake mwandiga au mwendakulima ndani ndani huko akishakunywa uji wa magimbi anaingia JF na kutype neno Dodoma ni kijiji then nafsi yake inapoa, Watu kama hawa sina hakika hata kama huwa wanasafiri kutoka machakani huko kuja mijini kusafisha macho nakuondoa fikra zakishamba.
Wagogo walionewa huruma na Magufuli kuwa jiji wa kadhani wanastahili kuwa jiji.wagogo hiyo ndio
MWANZA bhaba the second city in tz serikali yenu pamoja na kubana kote lakini wanajua kama Mwanza ndio baba yenu ukiondoa Dar bado ukitoka Mwanza wagogo hamuigusi chugastan ...A town yaani nyie mnashindana na mbeya..sasa nashangaa hata huo ujasiri wa kushindana na mwanza mmeutoa wapi? Mwanza iyo once again msije mkahis ni new york city! angalieni roho zinavyowauma mnatamani kama hiki kimjengo kingekuwa kwenu....na hapo picha bado halijaanza vimijengo kama hivi mwanza vya kumwaga tu mbweha nyie.....!! msituchanganye umu majukwaan nendeni mkashindane na morogoro huko
MWANZA CITY GALLERYView attachment 2082602
halafu wala hawakutakiwa wa battle na Mwanza wao walitakiwa waiambie serikali yao sababu serikali yao ndio inatambua kwamba Mwanza ni second city tanzania nzima hii, na kila mtu analitambua hilo na hata wagogo wenyewe wanalitambua hilo na kama hawajui Mwanza ni City tangu mwaka 2000 uko sasa hawa wamekuja kutangazwa juzi tu tena zile zilikuwa siasa tu leo hii eti wana battle aisee wanatia hasira sana hawa omba omba! magu kachukua nchi mwaka 2015 baadae kwasababu ya politics akaamua kuwapa wagogo heshima tu ya kuifanya dodoma kuwa jiji, wakati mwanza imekuwa jiji kabla hata ya wagogo wengine umu wanaokimbilia kuchangia mada hawajazaliwa...sababu mwanza kuwa jiji no zaid ya miaka 22 iliyopita uko wakati dodoma omekuwa jiji miaka 5 iliyopitaWagogo walionewa huruma na Magufuli kuwa jiji wa kadhani wanastahili kuwa jiji.
Mama ametelekeza kijiji chao.
Subirini sheria ya makao makuu ibadilishwe muendelee kuomba omba.