Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ni kujenga Barabara za lami tuu kwenye Wilaya ambazo Zina uzalishaji.

Takribani km 500 zitajengwa Nchi nzima kwenye Wilaya zilizochaguliwa ,huko Geita ni Mbogwe,ipo Handeni,Kilolo na Ruangwa.
uzalishaji wa nn?
na ni vigezo gani vimetumika kuzichagua?
 
Hivi unataka kuniambia Mbogwe na Ruangwa wanazalisha zaidi mazao ya biashara na Chakula kuliko wilaya kama kilombero,mbinga au mpanda?
Matakwa ya mfadhili.Zaidi ya Bil.820 zitatumika kujenga Barabara za lami km 530 kwenye Wilaya za Iringa DC,Kilolo,Mufindi(Iringa),Handeni -Tanga,Mbogwe-Geita na Ruangwa-Lindi.

Wilaya zingine watajengewa madaraja na Barabara za changarawe Kwa Barabara ambazo zitachaguliwa.
 
Experience you won't encounter anywhere else except mwanza the unforgettable land of saa nane island and Bismarck rock πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Hivi unataka kuniambia Mbogwe na Ruangwa wanazalisha zaidi mazao ya biashara na Chakula kuliko wilaya kama kilombero,mbinga au mpanda?
Mbogwe ni level nyingine kwa uzalishaji wa mpunga kwa kanda ya ziwa hakuna eneo linazidi Mbogwe, na kuna migodi ya dhahabu maeneo mengi ndani ya wilaya hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…