Hii ni hotel acha kujitoa akili, kama umahamia kwenye hotel usemeHuwezi Kuta apartments kama.hizi huko Kwa wanuka shombo ya Samaki.
Only in Dom City ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C1u91t4tIjF/?igsh=MWE3OXV3bzZtNGppcA==
Hivi Mwanza nzima mna Hoteli Kali ya mtu binafsi kama hii ya Mbeya? ππ
Hatujamaliza na apartments tafadhari, Rudi tukunyooshe πππHivi Mwanza nzima mna Hoteli Kali ya mtu binafsi kama hii ya Mbeya? ππView attachment 2987779View attachment 2987780
Za dodoma zimeisha umeenza kukopa za mbeya ...unganeni majiji yote hapa mtanyooka tu ...Hivi Mwanza nzima mna Hoteli Kali ya mtu binafsi kama hii ya Mbeya? ππView attachment 2987779View attachment 2987780
Magofu ya Serikali ndio unaleta ππZa dodoma zimeisha umeenza kukopa za mbeya ...unganeni majiji yote hapa mtanyooka tu ...
Capri one apartment View attachment 2987784View attachment 2987786
Hivi Mwanza nzima mna Hoteli Kali ya mtu binafsi kama hii ya Mbeya? ππView attachment 2987779View attachment 2987780
Apartments au madarasa haya π€£π€£π€£π€£
Hakuna kitu hapo,kama Hilo ni Kali na hili tuitaje? ππView attachment 2987788
Hii siyo hotel ila ni jengo Kali kuzidi hiyo hotel. Ukumbuke hatujamalizana na apartments
Mbeya as usual, tunawataguna combinedHakuna kitu hapo,kama Hilo ni Kali na hili tuitaje? ππView attachment 2987798View attachment 2987799
Unaleta madarasa na mabweni unasema apartments π€£π€£π€£π€£Hatujamaliza na apartments tafadhari, Rudi tukunyooshe πππ
Huyo ni wakala wa majengo, linganisha nyumba hizo na apartment hiiUnaleta madarasa na mabweni unasema apartments π€£π€£π€£π€£
Dom is here to stay ahead of you forever ππ
View: https://www.instagram.com/reel/Czk9KK7IAZQ/?igsh=OXMzNjA5MzdhdXVr
Dodoma well planned and organised ApartmentsHuyo ni wakala wa majengo, linganisha nyumba hizo na apartment hiiView attachment 2987811View attachment 2987812View attachment 2987813
Cozy apartment
Kota za wakimbizi ππDodoma well planned and organised Apartments View attachment 2987825View attachment 2987826