Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Narudia tena Mwanza inachozidi Dom ni population tu(wasukuma hawanaga uzazi wa mpango wanazaliana sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚).Hotels,Apartments,Conference Centers,recreational centers Mwanza haifiki hata nusu ya Dom ya sasa(na bado Dom inaendelea kupaa kwa kasi ya kimbunga).
Wenzio tunaongea Kwa ushahidi wewe unasema uchizi hapq
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ..amkeni amkeni ...Kuna porojo zingine huku....kama hotel nyota Tano ni vile vijumba vya pale mipango miyuji jirani na maisha plus ..bas Ryan bay au tilapia ni nyota 10
Onyesha vijumba vya Mwanza acha upuuzi
 
Leyshoff hotel ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
321980441.jpg
 
Narudia tena Mwanza inachozidi Dom ni population tu(wasukuma hawanaga uzazi wa mpango wanazaliana sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚).Hotels,Apartments,Conference Centers,recreational centers Mwanza haifiki hata nusu ya Dom ya sasa(na bado Dom inaendelea kupaa kwa kasi ya kimbunga).
Ziko wapi? Mzee wa facts unabwabwaja bila ushahidi?. Eti apartments mara hotel mbona mnaota mchana
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ..amkeni amkeni ...Kuna porojo zingine huku....kama hotel nyota Tano ni vile vijumba vya pale mipango miyuji jirani na maisha plus ..bas Ryan bay au tilapia ni nyota 10
Hii ni hotel au apartments ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ *****. 5 star hotel kudadeki๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Watu wa dodoma ni washamba kuanzia raia mpaka media zao ...ukikiona hicho kieneo anachosema nyota Tano .. unaweza zimia Kwa kicheko ...
Nyota Tano wanadhani ni makalio
 
Ziko wapi? Mzee wa facts unabwabwaja bila ushahidi?. Eti apartments mara hotel mbona mnaota mchana
Hivi wewe jamaa umewahi kukanyaga hata maramoja Dom au tunabishana na mtu anayetegemea google na picha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.Unataka kuniambia hata huko ulipo hujawahi kuzisikia hoteli hizi maarufu Dom๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
-St Gaspar
-Best Western City Hotel
-Morena
-Royal Village
-Esperanza
-Ambassadors
-Midlands
-African Dreams
-Golden Crown
-DS
-Dm
-Dodoma Grand
-Dodoma Hotel
- Rafiki Dodoma Hotel
-Verde View
-Nasheera
-Vizzano
 
Watu wa dodoma ni washamba kuanzia raia mpaka media zao ...ukikiona hicho kieneo anachosema nyota .. unaweza zimia Kwa kicheko ...
Nyota wanadhani ni makalio
Mwanza kuna media zipi zinazoizidi Dodoma๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Bado
Hivi wewe jamaa umewahi kukanyaga hata maramoja Dom au tunabishana na mtu anayetegemea google na picha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.Unataka kuniambia hata huko ulipo hujawahi kuzisikia hoteli hizi maarufu Dom๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
-St Gaspar
-Best Western City Hotel
-Morena
-Royal Village
-Esperanza
-Ambassadors
-Midlands
-African Dreams
-Golden Crown
-DS
-Dm
-Dodoma Grand
-Dodoma Hotel
- Rafiki Dodoma Hotel
-Verde View
-Nasheera
-Vizzano
Hujasema kwa idadi hii tu mtatapika damu
 
Back
Top Bottom