Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Tutakusaidia kutuma picha za hotel ulizooredhesha hapa kwa ulinganifu. Usichoke kufuatilia hii thread
 
Bado
Hujasema kwa idadi hii tu mtatapika damu
Na hizo ni baadhi tu ya ninazozikumbuka manake Dom ni jiji pekee ambalo kila ukienda unakuta mabadiliko kilasiku yanaporomoshwa maghorofa na mahoteli tofauti na Mwanza ambayo wakati inapewa hadhi ya Jiji mwaka 2000 ilikua na ghorofa moja tu la Bugando😂😂😂😂😂
 
Hivi wewe jamaa umewahi kukanyaga hata maramoja Dom au tunabishana na mtu anayetegemea google na picha😂😂.Unataka kuniambia hata huko ulipo hujawahi kuzisikia hoteli hizi maarufu Dom👇👇
-St Gaspar
-Best Western City Hotel
-Morena
-Royal Village
-Esperanza
-Ambassadors
-Midlands
-African Dreams
-Golden Crown
-DS
-Dm
-Dodoma Grand
-Dodoma Hotel
- Rafiki Dodoma Hotel
-Verde View
-Nasheera
-Vizzano
🗑️🗑️🗑️🗑️🗑️🗑️🗑️🗑️🗑️

🗑️🗑️🗑️🗑️....na unavyoremba kingereza ili Kila mtu aone ni hotel za maana .. kumbe ni local kama za kahama😃😃
 
Na hizo ni baadhi tu ya ninazozikumbuka manake Dom ni jiji pekee ambalo kila ukienda unakuta mabadiliko kilasiku yanaporomoshwa maghorofa na mahoteli tofauti na Mwanza ambayo wakati inapewa hadhi ya Jiji mwaka 2000 ilikua na ghorofa moja tu la Bugando😂😂😂😂😂
🙄🙄🙄🙄
 
JF ni home of great thinkers sio home of great pictures 😂😂😂Humu tunabishana kwa hoja na facts hatubishani kwa picha.Picha zinatumika pale tu inapobidi kukazia hoja yako kama mimi ninavyofanya
Fact zako ni zipi kwa mfano mbona kama hujasoma au ulipiga ada ya mzazi ukaambulia GPA ya 1.5?. Sikuelewi ni fact zipi unamaanisha. Kuorodhesha hotel za Dodoma ndo facts kwako?. Hemu kwanza usipende kujiita Mzee wa facts, u don't deserve.
 
JF ni home of great thinkers sio home of great pictures 😂😂😂Humu tunabishana kwa hoja na facts hatubishani kwa picha.Picha zinatumika pale tu inapobidi kukazia hoja yako kama mimi ninavyofanya
Hebu fikiria kwa mapana neno uloandika ........sio home of great pictures.......

Hapa unajiita una akili. Tafakari kwa kina utuambie unamaanisha Nini?. U get the picture? 😁.
 
Hivi wewe jamaa umewahi kukanyaga hata maramoja Dom au tunabishana na mtu anayetegemea google na picha😂😂.Unataka kuniambia hata huko ulipo hujawahi kuzisikia hoteli hizi maarufu Dom👇👇
-St Gaspar
-Best Western City Hotel
-Morena
-Royal Village
-Esperanza
-Ambassadors
-Midlands
-African Dreams
-Golden Crown
-DS
-Dm
-Dodoma Grand
-Dodoma Hotel
- Rafiki Dodoma Hotel
-Verde View
-Nasheera
-Vizzano
Mwanza hotel
Gold crest
Hotel tilapia
Ryan bay hotel
Victoria palace
Eden palace
Isamilo grand
Midland
G&G
Pigeon
Kingdom
Malaika resort
Wag hill
Leyshoff
Holmand inn
Mayi hotel
Antelope hotel
Na nyingine kibao
 
Mwanza hotel
Gold crest
Hotel tilapia
Ryan bay hotel
Victoria palace
Eden palace
Isamilo grand
Midland
G&G
Pigeon
Kingdom
Malaika resort
Wag hill
Leyshoff
Holmand inn
Mayi hotel
Antelope hotel
Na nyingine kibao
Waongezee
° antelope hotel
° hadjens hotel
°holmand and tours hotel
° mipa hotel
°tilapia hotel
° la kairo hotel
° monarchy hotel
° the lahe hotels
°victoria palace hotel
°G&G hotel
° vizano hotel
° n.k
 
Njoeni kwenye hotel, hospitali, na kichwani pia maana tushawajua nyie ni weupe tu. Kwanza sisi ndo tuliamua Dodoma kuwa Jiji kupitia kwa JPM
 
😂😂hicho unachokiona Mtumba ni robo tu.Ungekua umewahi kufika Tambukareli ungeona maghorofa kama ya Dubai vile👇👇View attachment 2988177
Nipo makuru mpaka dakika hii sasa sijui Tambukareli reli kabreli gani siijui Nipo makuru mpaka dakika hii sasa tamb
Hivi wewe jamaa umewahi kukanyaga hata maramoja Dom au tunabishana na mtu anayetegemea google na picha😂😂.Unataka kuniambia hata huko ulipo hujawahi kuzisikia hoteli hizi maarufu Dom👇👇
-St Gaspar
-Best Western City Hotel
-Morena
-Royal Village
-Esperanza
-Ambassadors
-Midlands
-African Dreams
-Golden Crown
-DS
-Dm
-Dodoma Grand
-Dodoma Hotel
- Rafiki Dodoma Hotel
-Verde View
-Nasheera
-Vizzano
Hizo ni lodge tu mzee baba

Jamaa Unachekesha sana hii list kwa mwanza ni lodge zote,
 
Nipo makuru mpaka dakika hii sasa sijui Tambukareli reli kabreli gani siijui Nipo makuru mpaka dakika hii sasa
Dodoma hakuna sehemu inaitwa Makuru😂😂 panaitwa Makulu....kutoka Makulu hadi Tambukareli kwenye maghorofa nyuma ya Jakaya Kikwete International Convention Center ni umbali wa dakika tano tu.
Kama kweli upo huko basi jongea taratibu utaona maghorofa haya👇👇
20240508_143717.jpg
 
Maskini anarudia picha.ngoja nikusaidie ...t
 
Dodoma hakuna sehemu inaitwa Makuru😂😂 panaitwa Makulu....kutoka Makulu hadi Tambukareli kwenye maghorofa nyuma ya Jakaya Kikwete International Convention Center ni umbali wa dakika tano tu.
Kama kweli upo huko basi jongea taratibu utaona maghorofa haya👇👇View attachment 2988332
Gallery_1715448844104.png
uukipata sehemu yakulia bata kama hii Kwa Dodoma niiteni paka wmweusi
 
hospitali
😂😂Hapo ndio usijaribu kugusa kabisa aisee Mwanza haifiki hata robo ya Dom...Hizi ni baadhi ya best hospitals apa Tanzania na status yake👇👇
-Benjamin Mkapa Zonal Refferal Hospital
-Mirembe National Mental Health Hospital
-"General" Regional Referral Hospital
-Uhuru Hospital
-Mackay
-St Gemma
-St Camilius
-Aga Khan
-Decca
-Mvumi(hii ni the best kwa matibabu ya magonjwa ya macho na miwani Tanzania nzima kuna wagonjwa wa macho wanatoka Muhimbili na KCMC wanapewa rufaa kwenda pale)
-UDOM hospital
-DCMC Ntyuka
N.k

-Sasa ukija kwa Mwanza😂😂 wanategemea hospital moja tu ya wakatoliki ya Bugando na yenyewe inahudumia kanda ya ziwa yote.
Hospitali ya mkoa Sekou Toure ina upungufu mkubwa wa specialists 😂😂
 
View attachment 2988341uukipata sehemu yakulia bata kama hii Kwa Dodoma niiteni paka wmweusi
Kigoma,Bukoba,Musoma,Nansio huko kote wamezungukwa na Ziwa ....umewahi kuona hata sikumoja wakijilinganisha na Dom😂😂😂.Mito,maziwa,milima,bahari,mbuga za wanyama hizo ni natural features zipo kila sehemu man made features kama maghorofa,majengo hizo ndio zinazotofautisha maendeleo ya mji mmoja na mwingine
 
Gallery_1715442678734.jpg
Hii ndio tofauti ya jangwani na jiji lenye radha tofauti tofauti, leta camping site hata moja iliyopo Dodoma
 
Leteni uchafu wenu wa nyerere square na chinangari si mlisema recreational park, na blabla kibao
Gallery_1715447662943.png
 
Back
Top Bottom