Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

😂😂Picha za Ziwa hata Mbamba Bay- Nyasa zipo
Leta za mbamba bay, hiyo ni unique mzee na inajitofautisha na jangwa la Dodoma, tukianza kutupia beach kali, migahawa iliyoko mwambao wa lake victoria, camping sites za kutosha, hivi vitu huwezi vikuta Dodoma miaka buku kijana
 
😂😂Hapo ndio usijaribu kugusa kabisa aisee Mwanza haifiki hata robo ya Dom...Hizi ni baadhi ya best hospitals apa Tanzania na status yake👇👇
-Benjamin Mkapa Zonal Refferal Hospital
-Mirembe National Mental Health Hospital
-"General" Regional Referral Hospital
-Uhuru Hospital
-Mackay
-St Gemma
-St Camilius
-Aga Khan
-Decca
-Mvumi(hii ni the best kwa matibabu ya magonjwa ya macho na miwani Tanzania nzima kuna wagonjwa wa macho wanatoka Muhimbili na KCMC wanapewa rufaa kwenda pale)
-UDOM hospital
-DCMC Ntyuka
N.k

-Sasa ukija kwa Mwanza😂😂 wanategemea hospital moja tu ya wakatoliki ya Bugando na yenyewe inahudumia kanda ya ziwa yote.
Hospitali ya mkoa Sekou Toure ina upungufu mkubwa wa specialists 😂😂
Wewe Mwanza unaijua au unaisikia?
Bugando Weil Hospital na Chuo kikuu chake!
Agha khan Mwanza
Tanzanite Hospital
Uhuru Hospital
CF Hospital
Royal Hospital
Makongoro Hospital
Samatarian Hospital
Kamanga Hospital
Sekou Toure Hospital
Sengerema Hospital
Bukumbi Hospital
Sumve Hospital
Nyamagana Hospital
Ilemela Hospital
nk
Wewe kijana zaidi ya yote Bugando ni Kubwa kuliko hiyo Benjamin Mkapa Hospital! Kwa hiyo usiwe Muongo muongo kijana!
 
Ukubwa kivip. Hiyo Dom eneo Lake 2000km² na zaid wamechukua hadi mashamba hukooo ya kilimo Mwanza 400km² na Viwanda vingi vinahamishiwa nje ya Jiji. Ukipigwa kubali sio kuhamisha magoli. Kwanza kwa hilo eneo la 2000km² mlipaswa kulingana na Dar kwa mapato
Ukubwa namaanisha Population,
 
Mwanza hotel
Gold crest
Hotel tilapia
Ryan bay hotel
Victoria palace
Eden palace
Isamilo grand
Midland
G&G
Pigeon
Kingdom
Malaika resort
Wag hill
Leyshoff
Holmand inn
Mayi hotel
Antelope hotel
Na nyingine kibao
Picha ziko wapi?
 
Leta za mbamba bay, hiyo ni unique mzee na inajitofautisha na jangwa la Dodoma, tukianza kutupia beach kali, migahawa iliyoko mwambao wa lake victoria, camping sites za kutosha, hivi vitu huwezi vikuta Dodoma miaka buku kijana
Mwanza hakuna Hotel za maana hata MbambaBay imewashinda 😁😁👇👇
-167482702.jpg
2000304639.jpg
-222034827.jpg
-936476940.jpg
-753980068.jpg


Atakuja yule mshamba wa ngudu Mikdde atakwambia ni vijumba jumba 🤣🤣
 
😂😂Hapo ndio usijaribu kugusa kabisa aisee Mwanza haifiki hata robo ya Dom...Hizi ni baadhi ya best hospitals apa Tanzania na status yake👇👇
-Benjamin Mkapa Zonal Refferal Hospital
-Mirembe National Mental Health Hospital
-"General" Regional Referral Hospital
-Uhuru Hospital
-Mackay
-St Gemma
-St Camilius
-Aga Khan
-Decca
-Mvumi(hii ni the best kwa matibabu ya magonjwa ya macho na miwani Tanzania nzima kuna wagonjwa wa macho wanatoka Muhimbili na KCMC wanapewa rufaa kwenda pale)
-UDOM hospital
-DCMC Ntyuka
N.k

-Sasa ukija kwa Mwanza😂😂 wanategemea hospital moja tu ya wakatoliki ya Bugando na yenyewe inahudumia kanda ya ziwa yote.
Hospitali ya mkoa Sekou Toure ina upungufu mkubwa wa specialists 😂😂
- sekou toure
-bugando
  • uhuru hosp
  • agakhan hosp
-hundu Mandal hosp
-Royal hosp
-Tanzanite hosp
-mwananchi hosp
-CF hosp _ wachina Hawa
-Tanzanite hosp
-kamanga hosp
- mwanza hosp
-rainbow hospital
- n.k
 
😂😂Picha za Ziwa hata Mbamba Bay- Nyasa zipo
Umeanza kupagawa hapo ni the Ryan's bay. Mwanza Ina vitu vingi mno tatizo mmepewa hadhi ya Jiji kisiasa basi mkavimba vichwa kwa projects za serikali na taasisi zake
 
Kwanza apartments hatukumalizana mnaruka ruka tu, haya leteni na hotel ila kama ni Dodoma peke yake Bora muache tu, ongezeni za mbeya, njombe na songea.
 
Wewe Mwanza unaijua au unaisikia?
Bugando Weil Hospital na Chuo kikuu chake!
Agha khan Mwanza
Tanzanite Hospital
Uhuru Hospital
CF Hospital
Royal Hospital
Makongoro Hospital
Samatarian Hospital
Kamanga Hospital
Sekou Toure Hospital
Sengerema Hospital
Bukumbi Hospital
Sumve Hospital
Nyamagana Hospital
Ilemela Hospital
nk
Wewe kijana zaidi ya yote Bugando ni Kubwa kuliko hiyo Benjamin Mkapa Hospital! Kwa hiyo usiwe Muongo muongo kijana!
Nimekwambia hospitali apo Mwanza yenye hadhi ni moja tu ya Bugando ya wakatoliki na yenyewe inahudumia almost lake zone yote.Hizo zingine zote ni takataka ni sawa tu na Health Centres 😂😂ndiomana huwezi kupata rufaa ya kwenda apo ....sasa linganisha na Dom wenye👇👇
"Hospitali ya Taifa"
"Hospitali Kuu ya Jeshi"
"Hospitali ya Rufaa ya Kanda"
"Hospitali Maalum ya Macho"
"Hospitali Maalum ya kimkakati"
 
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after DSM wakati DOM yeye akishikilia title la jiji la Kisasa zaidi after DSM hayo ndo maoni yangu utaki leta evidence kuwa MWANZA CBD nizaidi ya DODOMA CBD

Hivyo kwa heshima ya Dodoma mpya na ya kisasa ambayo kwa mtizamo wangu binafsi inaichapa Mwanza 3-0 kwenye ukubwa wa City Center (CBD)

Kuanzia majengo mengi ya ghorofa, ukisasa, mpangilio, bustani na round about nzuri, purchasing power (vitu bei ni juu na watu wana-afford) ndiyo maana mabasi makali na ghali mengi uanzia safari zake hapa kuelekea Dar nasiyo vinginevyo.

Kingine Dodoma CBD bado inakuwa kila sekunde mijengo inazidi chepushwa tena project za maana, ila Mwanza CBD haina jipya sana zaidi ya soko linalojengwa pale hamna kingine chakutarajia kwa sasa, kinachoiangusha Dodoma CBD ni ubaya wa soko lake kuu la majengo(ombi langu kwa mamlaka husika walifanyie mpango wa maboresho linafubaza jiji) ila kwingine huko kote ni fire.

CBD ya Dodoma inaichapa mwanza upande wa barabara za lami, private cars na magari ya kifahari,mandhari ya kimjini mjini kama ni mgeni ukiwa mazengo ukajichanganya majengo huko kwa kina vunja bei bila kusahau uhindini n.k wawezadhani uko kariakoo ndogo, Dodoma CBD ina city vibes ukilinganisha na mwanza CBD.

MADHAIFU:
I. Ukarimu na kauli za kibiashara(customer care) ni "F"

II. Usafi ni "F'' mifereji inanuka vinyesi plus taka zinatupwa tu ovyo na hakuna hatua yeyote inachukuliwa mara mia na halmashauri ya manispaa ya Singida.

III. Upande wa Mahoteli na viwanja nawapa "D" demand bado nikubwa kuliko kilichopo, ukiiondoa Morena ambayo nayo ni yakawaida sana bado hakuna hotel za maana.

IV. Hali ya hewa ya vumbi la kuwasha macho, ukame na unusu jangwa, hata kama umetupia nguo mpya na Kali vipi zinaappear zimefubaa nakupaukiana achilia mbali baridi kali usiku. (Tushirikiane wote kuakikisha Sera ya Dodoma ya kijani inatekelezwa kwa vitendo)

V. Shida ya MAJI hapa usishangae chumba kimoja kikilipiwa 15k na kingine kinachofanana nacho kwa kila kigezo kikilipiwa 30k kumbe kigezo ni kimoja kina maji na kingine hakina. Jamani SERIKALI timizeni majukumu yenu mruhusu jiji hili lifunguke zaidi na likuwe maana kikwazo kikuu ni hiki kabla ya vingine.

But all in all ukiondoa mapungufu hayo machache, mwanza CBD inakalishwa benchi kipindi cha kwanza cha mchezo hata kabla ya kipyenga cha mwamuzi kuamuru game lianze.

TAKE HOME
Ninachoipendea Dodoma; UZALENDO kwani karibia asilimia 95 ya majengo yote, mabango na mapambo CBD lazima neno DODOMA litaappear unlike mwanza na sehemu zingine za Tanzania hii.
Sisi wataalamu wa mpangilio wa majiji( city/urban designer) tunasema si dar, mwanza Wala Dodoma ni takakata tu hakuna kitu

Dogo Nitafutie nikupe shule ya sustainable urban/city development
 
Bugando Weil Hospital na Chuo kikuu chake!
UDOM pia wana hospitali yao(hii ni nyingine tofauti na Benjamin Mkapa Hospitali).....College ya "TIBA" ya Udom ipo Benjamin Mkapa Zonal Referral Hospital. Kiutawala Hospitali ya Benjamin Mkapa ipo chini ya Wizara ya Afya lakini madaktari wote wanaosoma UDOM wanafanyia mazoezi apo.

Kwa upande wa vyuo vikuu Mwanza ikasome kwa Dom😂😂.Chuo Kikuu kimoja tu cha UDOM(chuo kikuu cha pili kwa ukubwa Afrika) kina uwezo wa kuchukua wanavyuo wote wa Mwanza,Shinyanga,Geita,Kagera,Simiyu,Mara na bado nafasi zikabaki😂😂.Hapo bado sijakutajia St John's,CBE,IRDP-MIPANGO,MADINI,LGTI-HOMBOLO,IAA-Dom Campus n.k
 
Nimekwambia hospitali apo Mwanza yenye hadhi ni moja tu ya Bugando ya wakatoliki na yenyewe inahudumia almost lake zone yote.Hizo zingine zote ni takataka ni sawa tu na Health Centres 😂😂ndiomana huwezi kupata rufaa ya kwenda apo ....sasa linganisha na Dom wenye👇👇
"Hospitali ya Taifa"
"Hospitali Kuu ya Jeshi"
"Hospitali ya Rufaa ya Kanda"
"Hospitali Maalum ya Macho"
"Hospitali Maalum ya kimkakati"
Ugonjwa ulionao ..ni halali mirembe ikawekwa dodoma ..achilia mbali ripoti ya sensa inayoonyesha mwanza ni ya pili Kwa idadi ya hospitali na vituo vya afya tanzania..but also mwanza inaenda hub ya afya Kwa ukanda wa maziwa makuu tunasema Hiv Kwa kuzingatia hivi ?👇
Uwepo wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya afya vyenye hadhi ya kimataifa kama :
_CUHAS
-city university
_mwanza university
-tanzanite institute kinajengwa na taasisi ya India .
Dodoma Ina university Moja ya UDOM ambayo inaoffer expertise training in medical field..msinambie st John ambayo kozi zake nyingi zimefutwa ..

Hospital zenye hadhi ya ubingwa bobevu
-bugando (hospital ya pili Kwa ukubwa Tanzania)
_kamanga medics
-hindu mandal
-aghakhan
-tanzanite/uhuru hospital
-sekotoure
-mwanza hospital .
Hospital na medical center zenye hadhi Bora
-rainbow clinic
-bugando town clinic
-AAR
-Manjis eye center
-royal hospital
Hospital ambazo ziko kwenye ujenzi
-city hospital kisesa
-kamani medical center nyamhongolo
-mwanza university hospital kishiri
-ilemela municipal hospital
_ukerewe regional hospital
 
Back
Top Bottom