Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮... mzee wa kuassume .. vyuo vinavyojengwa mwanza... ukizingatia Hali ya hewa na mazingira ya mwanza ni mazuri tegemea kuona poromoko la idadi ya wanafunzi hapo Kalahari.....UDOM pia wana hospitali yao(hii ni nyingine tofauti na Benjamin Mkapa Hospitali).....College ya "TIBA" ya Udom ipo Benjamin Mkapa Zonal Referral Hospital. Kiutawala Hospitali ya Benjamin Mkapa ipo chini ya Wizara ya Afya lakini madaktari wote wanaosoma UDOM wanafanyia mazoezi apo.
Kwa upande wa vyuo vikuu Mwanza ikasome kwa Dom😂😂.Chuo Kikuu kimoja tu cha UDOM(chuo kikuu cha pili kwa ukubwa Afrika) kina uwezo wa kuchukua wanavyuo wote wa Mwanza,Shinyanga,Geita,Kagera,Simiyu,Mara na bado nafasi zikabaki😂😂.Hapo bado sijakutajia St John's,CBE,IRDP-MIPANGO,MADINI,LGTI-HOMBOLO,IAA-Dom Campus n.k
Mwanza tuna
CUHAS
SAUT
DIT
IRDP
IFM (Iko kwenye ujenzi)
TIA
mwanza university (Iko kwenye ujenzi)
ardhi university wameshaanza ujenzi
City college