Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaleta stori za kwenye makaratasi 😁😁😁😁
Render and porojo 😂😂😂
Kwa hiyo UDOM Iko Wilaya Nyingine Nje ya Dodoma CC au? 😁😁😁😁Kwani UDOM ipo CBD mbona unajitoa ufahamu
Kama h
uij
We fala mbona kama una stress? 😁😁😁Kama h
uij
We fala mbona kama una stress? 😁😁😁
Kula chuma hiyo kutoka Kikombo Dom City 🔥🔥👇👇
View: https://twitter.com/WizaraMNN/status/1789899797412843872?t=O8K5NXfaWZGm03K7M-uzJw&s=19
Kihoteli gani hicho kimesongamana kama Gulio? 😂😂
😆😆😆Mkuu unatumia nguvu kubishana na mtu ambaye hajawahi kufika Dom ndiomana anategemea picha za google😆😆. Kutoka City Center hadi UDOM ni mwendo wa dakika 10 tu kwa private car.Kutoka City Centre mpaka Ring Road iliyozunguka UDOM ni umbali wa dakika 20 tu kwa private carKwa hiyo UDOM Iko Wilaya Nyingine Nje ya Dodoma CC au? 😁😁😁😁
We fala mbona kama una stress? 😁😁😁
Kula chuma hiyo kutoka Kikombo Dom City 🔥🔥👇👇
View: https://twitter.com/WizaraMNN/status/1789899797412843872?t=O8K5NXfaWZGm03K7M-uzJw&s=19
Unajivunia kota za polisi 😃😃😃😆😆😆subiri waje kukwambia eti Dom hakuna maghorofa ,hakuna greenish alafu utawasikia tena Mwanza haijengwi na Serikali inajengwa na private sector😂😂Ukiwauliza hiyo private sector imejenga mtaa gani uliopangiliwa kama Dom wanakimbia au ukiwaambia wakutajie private real estate company kubwa apo Mwanza wanaishia kupost picha za madalali tu😆😆😆
Hotel za kitalii zenye cultural aesthetic huwezi zielewa......Baki na malodge yakoKihoteli gani hicho kimesongamana kama Gulio? 😂😂
😂😂😂😂 Weka hotel acha porojo za vipabu vya pombeHotel za kitalii zenye cultural aesthetic huwezi zielewa......Baki na malodge yako
Zikiwepo Mwanza mnajivunia,zikiwepo Dodoma ni nongwa 😁😁😁😁Unajivunia kota za polisi 😃😃😃
Hivi Kwa nini Mwanza hakunaga mitaa mikali ka hii ya Dom hapa 👇
View attachment 2990498