Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

We fala mbona kama una stress? 😁😁😁

Kula chuma hiyo kutoka Kikombo Dom City 🔥🔥👇👇

View: https://twitter.com/WizaraMNN/status/1789899797412843872?t=O8K5NXfaWZGm03K7M-uzJw&s=19

Kama kawaida wizara projects..
Tilapia view 🔥
175324985.jpg
273486167.jpg
 
Kwa hiyo UDOM Iko Wilaya Nyingine Nje ya Dodoma CC au? 😁😁😁😁
😆😆😆Mkuu unatumia nguvu kubishana na mtu ambaye hajawahi kufika Dom ndiomana anategemea picha za google😆😆. Kutoka City Center hadi UDOM ni mwendo wa dakika 10 tu kwa private car.Kutoka City Centre mpaka Ring Road iliyozunguka UDOM ni umbali wa dakika 20 tu kwa private car
 
We fala mbona kama una stress? 😁😁😁

Kula chuma hiyo kutoka Kikombo Dom City 🔥🔥👇👇

View: https://twitter.com/WizaraMNN/status/1789899797412843872?t=O8K5NXfaWZGm03K7M-uzJw&s=19

😆😆😆subiri waje kukwambia eti Dom hakuna maghorofa ,hakuna greenish alafu utawasikia tena Mwanza haijengwi na Serikali inajengwa na private sector😂😂Ukiwauliza hiyo private sector imejenga mtaa gani uliopangiliwa kama Dom wanakimbia au ukiwaambia wakutajie private real estate company kubwa apo Mwanza wanaishia kupost picha za madalali tu😆😆😆
 
Unajivunia kota za polisi 😃😃😃
 
Back
Top Bottom