Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Takwimu za sensa za makazi ni regional wise not city wiseπŸ˜‚πŸ˜‚....uhalisia upo hivi maghorofa yote ya Udom plus maeneo k zitaaribu na Udom kama Iyumbu,Njedengwa yanazidi zaidi ya miambili ukija Mwanza City Centre maghorofa hayafiki hata miaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tupe na source yako basi ili tufahamu kuwa wewe ni Mzee wa facts, vinginevyo zitakuwa ni porojo na hujui kama tunakuchora tu
 
πŸ˜†πŸ˜†Narudia tena idadi ya maghorofa yote ya UDOM pekeyake ni sawa na ghorofa zote pale Mwanza City Centre na hapo tumeweka pembeni maghorofa ya Mtumba(Magufuli City),Miyuji Proper,Tambukareli,Njedengwa,Kisasa,City Centre,Kilimani,Uzunguni,Mji Mpya,Kisasa n.k

Nakumbuka mara ya kwanza nimefika Mwanza nilifikia Nyegezi nikamwambia mwenyeji wangu anipeleke mjini kwenye maghorofa basi tukaenda mpaka maeneo ya Chuo cha CBE nikamuuliza mbona ghorofa zenyewe chache zinahesabika akanambia twende upande wa pili aisee tulipita chocho moja la hatari full uswazi nahisi pale vibaka wamejaa tele sasa just imagine apo ni mita chache tu toka chuo cha CBE ....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yqk

Eti miyuji proper ....kawadanganye ambao hawajui huko
 
Dom inasomga mbele ,Mwanza wanashangaa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C60oMkWNlyF/?igsh=MThjbmc3MjdkNHplYw==
1509472896.jpg
1156558748.jpg
-65490888.jpg
-554207624.jpg
-558533037.jpg
 
Wewe punguani,utani wenu na kumiliki uchumi wapi na wapi? 😁😁😁😁
Wewe ndo boya punguani na majina yote ya kishenzi. Ni kati ya watoto wakiona gari wanasema gari la baba, au wakiona nyumba wanasema nyumba ya kwetu. Akili yangu na yako hazipikiki chungu kimoja usiwahadae wanadodoma wakusikilize kisa unasifia mkoa wao.
 
Kwani makabila asili ya Dodoma ni Wagogo tu vp Wakaguru,Warangi,Wasagara,Wanyambwa,Wanguu,Waburunge,Wasandawe wapo wapi...πŸ˜‚πŸ˜‚
Hamia nyanda za juu kusini sasa πŸ˜’πŸ˜‚πŸ˜‚. Situmii nguvu nyingi kwani halina faida kwangu. Pamabaneni nyanda za juu kusini
 
Tupe na source yako basi ili tufahamu kuwa wewe ni Mzee wa facts, vinginevyo zitakuwa ni porojo na hujui kama tunakuchora tu
Unataka source ipi sasa au unabisha ilimradi na wewe uonekana unabishana na mimi mwenye IQ kubwa kukuzidiπŸ˜‚πŸ˜‚.
Hizo ni "observational facts" nilizokupa zinazoonesha uhalisia kwasababu nimefika na kufanya kazi kote huko(sio kwa kusimuliwa au kwa pichaπŸ˜€πŸ˜€) .
Pale UDOM kuna colleges zaidi ya 7 plus UTAWALA MKUU plus Chimwaga .Kila college inajitegemea kwa maghorofa ya kufundishia,maghorofa ya utawala na maghorofa ya hosteli sasa jumlisha apo maghorofa yote kuanzia mwanzo wa Udom hadi mwisho wa Udom kule TIBA-Benjamin Mkapa Referral Hospital alafu ulinganishe na idadi ya maghorofa ya Mwanza City Centre πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hamia nyanda za juu kusini sasa πŸ˜’πŸ˜‚πŸ˜‚. Situmii nguvu nyingi kwani halina faida kwangu. Pamabaneni nyanda za juu kusini
Hujajibu swali ...jitahidi uwe unajibu hoja kwa hoja sio kubadilisha badilisha topics kukwepa hoja πŸ˜€πŸ˜€
 
Unataka source ipi sasa au unabisha ilimradi na wewe uonekana unabishana na mimi mwenye IQ kubwa kukuzidiπŸ˜‚πŸ˜‚.
Hizo ni "observational facts" nilizokupa zinazoonesha uhalisia kwasababu nimefika na kufanya kazi kote huko(sio kwa kusimuliwa au kwa pichaπŸ˜€πŸ˜€) .
Pale UDOM kuna colleges zaidi ya 7 plus UTAWALA MKUU plus Chimwaga .Kila college inajitegemea kwa maghorofa ya kufundishia,maghorofa ya utawala na maghorofa ya hosteli sasa jumlisha apo maghorofa yote kuanzia mwanzo wa Udom hadi mwisho wa Udom kule TIBA-Benjamin Mkapa Referral Hospital alafu ulinganishe na idadi ya maghorofa ya Mwanza City Centre πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
IQ??. Mnachekesha sana. U might be a senior idiot bila kujua.
U have no data please you don't have right to speak. Na usitumie nguvu nyingi sana eti observation!!!.
 
Unataka source ipi sasa au unabisha ilimradi na wewe uonekana unabishana na mimi mwenye IQ kubwa kukuzidiπŸ˜‚πŸ˜‚.
Hizo ni "observational facts" nilizokupa zinazoonesha uhalisia kwasababu nimefika na kufanya kazi kote huko(sio kwa kusimuliwa au kwa pichaπŸ˜€πŸ˜€) .
Pale UDOM kuna colleges zaidi ya 7 plus UTAWALA MKUU plus Chimwaga .Kila college inajitegemea kwa maghorofa ya kufundishia,maghorofa ya utawala na maghorofa ya hosteli sasa jumlisha apo maghorofa yote kuanzia mwanzo wa Udom hadi mwisho wa Udom kule TIBA-Benjamin Mkapa Referral Hospital alafu ulinganishe na idadi ya maghorofa ya Mwanza City Centre πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
What is the fact kwenye hili????. Unapagawa tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom