Duh hii miundombinu inaenda kupunguza speed ya ukuwaji wa baadhi ya majiji nchiniLakini sio Mali ya Mkoa wa Mwanza.
Kwa Sasa Serikali Iko mbioni kuanza kujenga Sgr ya Tanga-Arusha-Musoma ,sijui Mwanza mtasalia na nini maana biashara zitahamia Musoma.