Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Dodoma zaidi ya asilimia 90 yote imepimwa (usilinganishe na mji wowote East Africa) ndiomana huwezi kusikia hata sikumoja Dodoma uvamizi wa Ardhi au makazi holela tofauti kabisa na Mwanza ambayo imejaa full slums haijulikani uswazi na ushuani ni wapi kote mipango miji ovyoovyo.
SIKATAI hata Dodoma kuna mitaa ya uswazi kwamfano Chadulu,Changombe,Mkalama,Kizota n.k lakini tofauti na uswazi ya Mwanza hii mitaa imepangiliwa na inafikika kwa miundombinu hata ikitokea ajali ya moto ni rahisi gari la zimamoto kuwahi kufika na kuzima moto sasa pata picha ya mitaa ya uswazi Mwanza kama hiki kinawezekana�
Vp kuna slums kama za Mwanza ambapo hakuna road networks,usafiri wa daladala shida yaani usafiri wa bajaji ni kama rasmi maeneo ya nyashishi,ujenzi holela,kitengo cha mipango miji F kabisa😀😀![]()
![]()