ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kumejaa uswazi ,hakuna barabara za mitaa Wala nini yaani ni hovyo tuu.Mwanza mitaa ambayo wanaona ni posh areas ni Capri Point na Igogo na huko kumechanganyikana na uswazi balaa😀😀....tofauti na Dom City Ilazo,Kisasa,Mlimwa C,Area D,Area E,Magereza,Oysterbay huwezi kukuta slums kama za Mwanza milimani
Waambieni waje kujifunza Njombe maana Dodoma sio.level zao 👇👇