kariobangii
JF-Expert Member
- Jul 21, 2023
- 515
- 671
Umezungumzia kwa kanda ya ziwa ila naamini hiyo Mbogwe hata uipambe vipi haiifikii mpanda kwa mpunga na mahindiMbogwe ni level nyingine kwa uzalishaji wa mpunga kwa kanda ya ziwa hakuna eneo linazidi Mbogwe, na kuna migodi ya dhahabu maeneo mengi ndani ya wilaya hiyo
Sasa mpaka hapo hujanishawishi kwa kigezo Cha kuchaguliwa,labda uniambie kwa utashi wa wenye maamuzi!