Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mwanza mitaa ambayo wanaona ni posh areas ni Capri Point na Igogo na huko kumechanganyikana na uswazi balaa😀😀....tofauti na Dom City Ilazo,Kisasa,Mlimwa C,Area D,Area E,Magereza,Oysterbay huwezi kukuta slums kama za Mwanza milimani
Kumejaa uswazi ,hakuna barabara za mitaa Wala nini yaani ni hovyo tuu.

Waambieni waje kujifunza Njombe maana Dodoma sio.level zao 👇👇
 
Mwanza leteni video za mitaa kama hii.Dodoma 👇👇

Mwanza mitaa ambayo wanaona ni posh areas ni Capri Point na Igogo na huko kumechanganyikana na uswazi balaa😀😀....tofauti na Dom City Ilazo,Kisasa,Mlimwa C,Area D,Area E,Magereza,Oysterbay huwezi kukuta slums kama za Mwanza milimani
Eti igogo ..masare Kwa kusukuma ni kichaa ..basi ache tuwe vichaa wote ..

Bado hamjasema
Screenshot_20240507-221017.jpg
IMG-20230814-WA0000.jpg
 
Attachments

  • IMG-20230814-WA0000.jpg
    IMG-20230814-WA0000.jpg
    577.8 KB · Views: 3
Hii ni hospital ya Wilaya nashangaa Hadi Sasa Toka imetangaza kujengwa hamjaanza mnaleta render tuu 😁😁
Huyu jamaa kilasiku anapost majengo hayajakamilika😂😂...Dom kilasiku yanaporomoshwa maghorofa na yanakamilika kwa wakati watu wanaingia yanaendelea kujengwa mengine
 
Yako wapi hayo majengo
JamiiForums-1228834968.jpeg
 
Siku ukipost picha ya igogo milimani kule kulikojaa slums ,vijumba vya hovyohovyo hata gari la zimamoto haliwezi kufika au nyuma ya bugando hiyo picha tutaiwekea lamination humu😀😀
Hamna jiji lisilo na slum...I'm proud of my Swahili street....vipi nyie kamji kadogo slum zenu ziko wap
IMG-20240420-WA0018.jpg
 
Hyo mitaa unavyoitaja kama mtu mgeni wa dodoma anaweza kudhani unazingua mansion neighborhood au classic area kumbe ni matope tu .. example mlimwa C👇
images (12).jpeg

Mwanza mitaa ambayo wanaona ni posh areas ni Capri Point na Igogo na huko kumechanganyikana na uswazi balaa😀😀....tofauti na Dom City Ilazo,Kisasa,Mlimwa C,Area D,Area E,Magereza,Oysterbay huwezi kukuta slums kama za Mwanza milimani
ta
 
Kuna jambo humu mnalitumia sana kuonyesha mwanza ni slum ila sio kweli, Hiyo milima mnayoiona Mwanza juu ni tambarare na inacover eneo kubwa tu mfano ni bugando na bugarika, huko juu kumepangwa vizuli isipokuwa maeneo yenye miteremiko mikali yaliachwa kama maeneo ya Hifadhi, Tatizo lilianza pale mamlaka zilipojisahau na watu kuanza kuuziana viwanja kwenye maeneo hayo tena kwa bei ndogo, kwa bahati mbaya maeneo haya ndiyo huonekana kiurahisi hususani unapoingia Nyamagana tofauti na Ilemela, kiufupi ilemela na Dodoma maeneo yaliyopangwa hayazidiani kwa kiwango kikubwa ukibisha tuende mtaa kwa mtaa bahati nzuli Kate nimeishi msizuzuliwe na uwekezaji na vipaumbele vya serikali kwenye miundo mbinu
 
Hyo mitaa unavyoitaja kama mtu mgeni wa dodoma anaweza kudhani unazingua mansion neighborhood au classic area kumbe ni matope tu .. example mlimwa C👇View attachment 2983843

ta
Vp kuna slums kama za Mwanza ambapo hakuna road networks,usafiri wa daladala shida yaani usafiri wa bajaji ni kama rasmi maeneo ya nyashishi,ujenzi holela,kitengo cha mipango miji F kabisa😀😀
 
Bwana Masare ulimwengu upo kiganjani siku hizi usitaje Nyashishi ukadhani watu hawapafahamu, Nyashishi hii hii yenye makampuni ya Kasco, Nyanza Road, Chuo cha Macwish, Chuo cha TIA, Sayona steel, Texas Hardware, Tan UK, kituo cha Dala dala, Chuo cha Maendeleo ya Jamii, Royal Bakery, Jema Tech n.k
 
Kuna jambo humu mnalitumia sana kuonyesha mwanza ni slum ila sio kweli, Hiyo milima mnayoiona Mwanza juu ni tambarare na inacover eneo kubwa tu mfano ni bugando na bugarika, huko juu kumepangwa vizuli isipokuwa maeneo yenye miteremiko mikali yaliachwa kama maeneo ya Hifadhi, Tatizo lilianza pale mamlaka zilipojisahau na watu kuanza kuuziana viwanja kwenye maeneo hayo tena kwa bei ndogo, kwa bahati mbaya maeneo haya ndiyo huonekana kiurahisi hususani unapoingia Nyamagana tofauti na Ilemela, kiufupi ilemela na Dodoma maeneo yaliyopangwa hayazidiani kwa kiwango kikubwa ukibisha tuende mtaa kwa mtaa bahati nzuli Kate nimeishi msizuzuliwe na uwekezaji na vipaumbele vya serikali kwenye miundo mbinu
Dodoma zaidi ya asilimia 90 yote imepimwa (usilinganishe na mji wowote East Africa) ndiomana huwezi kusikia hata sikumoja Dodoma uvamizi wa Ardhi au makazi holela tofauti kabisa na Mwanza ambayo imejaa full slums haijulikani uswazi na ushuani ni wapi kote mipango miji ovyoovyo.
SIKATAI hata Dodoma kuna mitaa ya uswazi kwamfano Chadulu,Changombe,Mkalama,Kizota n.k lakini tofauti na uswazi ya Mwanza hii mitaa imepangiliwa na inafikika kwa miundombinu hata ikitokea ajali ya moto ni rahisi gari la zimamoto kuwahi kufika na kuzima moto sasa pata picha ya mitaa ya uswazi Mwanza kama hiki kinawezekana😀😀
 
Picha zipo wapi
 
Tukiomba picha analeta za miradi ya NHC 😃😃😃
 
Back
Top Bottom