Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dodoma zaidi ya asilimia 90 yote imepimwa (usilinganishe na mji wowote East Africa) ndiomana huwezi kusikia hata sikumoja Dodoma uvamizi wa Ardhi au makazi holela tofauti kabisa na Mwanza ambayo imejaa full slums haijulikani uswazi na ushuani ni wapi kote mipango miji ovyoovyo.
SIKATAI hata Dodoma kuna mitaa ya uswazi kwamfano Chadulu,Changombe,Mkalama,Kizota n.k lakini tofauti na uswazi ya Mwanza hii mitaa imepangiliwa na inafikika kwa miundombinu hata ikitokea ajali ya moto ni rahisi gari la zimamoto kuwahi kufika na kuzima moto sasa pata picha ya mitaa ya uswazi Mwanza kama hiki kinawezekana�
Vp kuna slums kama za Mwanza ambapo hakuna road networks,usafiri wa daladala shida yaani usafiri wa bajaji ni kama rasmi maeneo ya nyashishi,ujenzi holela,kitengo cha mipango miji F kabisa😀😀
20230419_183158.jpg
20220710_170615.jpg
 
Naludia tena kinachofanya Dodoma ionekane imepangwa ni hizo Rear Estate za Nhc, TBA, Watumishi Housing na baadhi ya mitaa, sehemu kubwa ni vurugu mechi tu kama maeneo mengine, Nyamagana kinachoiponza Slum zake zipo kwenye miinuko hivyo huonekana kiurahisi na ndio lango la kuingilia Mwanza, Slum za Mwanza ni Milima ya Mabatini, Shede, Igogo, Milima ya Mswahili, Milima ya Mkuyuni na bahati mbaya naona na Milima ya Mkolani na Nyamazobe nayo inaenda kuharibika lakini Maeneo yaliyotambalale yalipangwa zamani na hakuna Slum
 
Chukua Tambarare anzia Mlango mmoja, Uhuru, Unguja, Rufiji, Isamilo, Nera, Kirumba Mwaloni, Magomeni, Kirumba, Kitangiri, Ghana, Bwiru, Kilimahewa Big Bite,Rudi Nyamhongoro, North Buswelu, South Buswelu, PPF, Sabasaba, Ilemela, Airport Mhonze mpaka Sangabuye huko Halmashauli ya Ilemela inapouza Viwanja nakuhakikishia Dodoma na Ilemela tofauti ni ndogo sana kwa maeneo yaliyopangwa
 
Chukua Tambarare anzia Mlango mmoja, Uhuru, Unguja, Rufiji, Isamilo, Nera, Kirumba Mwaloni, Magomeni, Kirumba, Kitangiri, Ghana, Bwiru, Kilimahewa Big Bite,Rudi Nyamhongoro, North Buswelu, South Buswelu, PPF, Sabasaba, Ilemela, Airport Mhonze mpaka Sangabuye huko Halmashauli ya Ilemela inapouza Viwanja nakuhakikishia Dodoma na Ilemela tofauti ni ndogo sana kwa maeneo yaliyopangwa
Wengi hawaijui ..wamekariri
 
Tatizo la Slum Sana sana mi naona ni miji yote mikubwa, Kutusingizia Big Fish city Pekee tunajidanganya hili jambo sio dogo hususani maeneo ambayo thamani ya Ardhi ipo juu
 
Agha Khan extension...new facilities at Dom City Centre alafu akina Mikdde wanatwambia eti Dodoma uwekezaji wa majengo ni wa serikali pekee hakuna uwekezaji binafsi😂😂😂
20240508_140855.jpg
20240508_141023.jpg
 
Dodoma Judiciary Square
20240508_143717.jpg
20240508_144620.jpg
almost complete👇👇...design ya majengo very unique kama ya Dubai vile😂😂

20240508_143717.jpg
 
Sijakuambia PSSSF .maana hata mwanza PSSSF zipo ..leta NSSSF
Si tulikubaliana kwamba Mwanza inajengwa na private sector pekee serikali haihusiki...vp tena mwenzetu😀😀😀
 
Back
Top Bottom