ππNarudia tena idadi ya maghorofa yote ya UDOM pekeyake ni sawa na ghorofa zote pale Mwanza City Centre na hapo tumeweka pembeni maghorofa ya Mtumba(Magufuli City),Miyuji Proper,Tambukareli,Njedengwa,Kisasa,City Centre,Kilimani,Uzunguni,Mji Mpya,Kisasa n.k
Nakumbuka mara ya kwanza nimefika Mwanza nilifikia Nyegezi nikamwambia mwenyeji wangu anipeleke mjini kwenye maghorofa basi tukaenda mpaka maeneo ya Chuo cha CBE nikamuuliza mbona ghorofa zenyewe chache zinahesabika akanambia twende upande wa pili aisee tulipita chocho moja la hatari full uswazi nahisi pale vibaka wamejaa tele sasa just imagine apo ni mita chache tu toka chuo cha CBE ....ππππ