Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Elfu 25 pamoja na familia zao. Elfu 70 ..bado wachache sana
Ndio nakushangaa wewe uliyesema eti population ya Dom imeletwa na Watumwa wa Umma kuhamia wakati hata 100k hawafiki Wakiwa na familia zao ambazo Kwa sehemu kubwa wameziacha walikokuwa.

Ukweli ni kwamba watu wanavutika Dom Kwa sababu za kiuchumi nothing else
 
Mwenye taarifa ya viwanja vinavyoongoza kwa idadi ya abiria wa ndani atujuze
 
Mwenye taarifa ya viwanja vinavyoongoza kwa idadi ya abiria wa ndani atujuze
International flights
1. Julius Nyerere
2. Kilimanjaro
3. Abeid Amani

Usafiri wa ndani
1. Julius Nyerere
2. Mwanza airport



Dodoma ni kama songwe airport tu
 
Kila siku unatuletea magazeti humu. Hujui Kuna mengine ya udakuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Daily news haijawahi kuwa gazeti la udamu wewe Ng'ombe wa Hungumalwa.

Hata hivyo hii taarifa ilikosea njia nilikuwa na post jukwaa la Kenya.
 
We mbuzi ,Mimi sijawahi tishwa na kima yeyote na jf nzima inanifahamu kwamba Mimi ni mtata..

Dodoma inaendelea kugawa full doze Kwa dampo la Mwanza.πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C7TYe0jI21n/?igsh=cm92azRvNTBybHIw
Dodoma ni Mji mkuu wetu Tanzania hivyo ni suala la muda tu itakua imetuacha mbali sana tunachokataa ni kulazimisha kuwa kwa sasa Dodoma tayali imeshaipiku Mwanza hizi project nyingi za serikali Dodoma either ni proposal au ndio kwanza zinakamilika hazifanyi kazi, Dodoma kwa sasa bado japo ni kweli yajayo yataifurahisha
 
Huo ndio ukweli kujitafuta wenyewe mpaka mkafikia hadhi ya Jiji ni tofauti na backup kubwa inayopewa Dodoma ambayo kimsingi ilikuwa imepokwa nafasi yake sasa imerudishiwa hivyo tukubali tukatae ndio Mji mkuu wetu na ni Lazima ufanane na hadhi yake, ila hii haimaanishi miji mingine imesimama tupo fully na tunaendelea kujitafuta project ni nyingi tu zipo huku ila hauwezi kuzisikia kwenye vyombo vya habari
 
Kwa sasa Mwanza inachozidi Dom ni population tu hakuna lingineπŸ˜‚πŸ˜‚ huo ndio ukweli.Hicho kilichofanyika Dom ndio kwanza awamu ya kwanza ya Serikali kuhamia Dodoma bado kuna phase 2,phase 3,phase 4 na kuendelea hadi Serikali na taasisi zake zote ziwe full kuhamia Dodoma.Kuna jamaa yangu yupo TANAPA aliniambia hata wao pia yawezekana wakahamishwa Dom.Sasa imagine kama hata taasisi zilizopo mikoani nje ya apa Dar nazo zinatakiwa kuhamia Dodoma hali itakuaje..πŸ˜†πŸ˜†
 

Token mkiani kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…