Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

IMG-20240523-WA0010.jpg
 
Hizi takwimu ni "regional wise" au "city wise"...anzisha thread mpya ya kushindanisha mikoa badala ya majiji ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Bado hujasema ng'ombe hujui๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
View attachment 2997491
Mwanza ya mwaka 2011 na hapo ni nje ya CBD
Mwanza ilipewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000...Dodoma ilipewa hadhi ya Jiji 2018.Maendeleo yaliyopatikana Dom kwa kipindi kichache tu ukilinganisha na Mwanza ni sawa na mbingu na Ardhi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.Mwanza wana kazi ya ziada sana kuifikia rekodi ya Dom City....wanatakiwa wapambane kwanza na hizi changamoto๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
-Barabara mbovu(Mwanza ni mojawapo ya majiji yenye shida ya barabara inazidiwa hata na baadhi ya manispaa angalia kwamfano barabara nyembamba ya Kenyatta Road inayopita hadi katikati ya mji kila mgeni anayeingia Mwanza anashangaa sana ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
-Changamoto ya uwanja wa ndege sijui lile jengo la abiria litakamilika lini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
-Mipango miji ni F kabisa
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Subiri waje kukwambia Dodoma ni jangwa,ukame,hakuna ukijani,hakuna maghorofa,hakuna miti,hakuna Ziwa Victoria ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Utaendelea kujifariji hivyo Hadi ...piga mazingira ya nje ikifika mwezi wa sita utupie humu ili tukubali unachokisema
Mwanza is green and always beautiful
JamiiForums94529980.jpeg
 
Mwanza ilipewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000...Dodoma ilipewa hadhi ya Jiji 2018.Maendeleo yaliyopatikana Dom kwa kipindi kichache tu ukilinganisha na Mwanza ni sawa na mbingu na Ardhi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.Mwanza wana kazi ya ziada sana kuifikia rekodi ya Dom City....wanatakiwa wapambane kwanza na hizi changamoto๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
-Barabara mbovu(Mwanza ni mojawapo ya majiji yenye shida ya barabara inazidiwa hata na baadhi ya manispaa angalia kwamfano barabara nyembamba ya Kenyatta Road inayopita hadi katikati ya mji kila mgeni anayeingia Mwanza anashangaa sana ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
-Changamoto ya uwanja wa ndege sijui lile jengo la abiria litakamilika lini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
-Mipango miji ni F kabisa
Record zipi labda tuanze kwanza
 
Kwa Dodoma ni shule ila ingekuwa Mwanza mneita Mwanza University ๐Ÿคช๐Ÿคช๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://youtu.be/gewCPP0zhsg?si=o6LO88wQb4OwajwB

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Dom wanapendelewa sana kiukweli ...hii ni shule ya mfano Tanzania na East Africa yote(labda ukienda South Africa ndio unaweza kukuta level hizo) .Ujenzi wake toka "scratch" umesimamiwa na kufanywa na Jeshi. Eneo lilipojengwa(mpangilio),miundombinu,ubora na ukubwa wake ni zaidi ya Faculty ya Chuo Kikuu UDSM.
 
Back
Top Bottom