Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Tukileta maneno maneno unaanza kulalamika, wakati wewe kila siku unaokoteleza kwenye mitandao. Tukikuletea render unaanza kuhaha sasa wewe unatuletea story sijui kwa faida ya nani?
Hapo kuna render au Kuna taarifa ya ujenzi wa Kituo Cha teknolojia kwa ufadhili wa Korea?
 
IMG-20240604-WA0011.jpg
 
Kwa hiyo picha hapo juu ni sehemu ya city centre ya arusha!!???πŸ€£πŸ˜… Arusha Bado sana kuilinganisha na mwanza yaani maeneo kama hayo yalinganishe na usagara huko maana hata nyegezi ni pazuri kuliko city center yenu
 
Mada ni Dodoma vs Mwanza ,msitafute kichaka.

Dom inaendelea kuwapelekea moto πŸ‘‡πŸ‘‡
Hii ndio jiji la kitalii, aise too shame on them
Kwa hiyo picha hapo juu ni sehemu ya city centre ya arusha!!???πŸ€£πŸ˜… Arusha Bado sana kuilinganisha na mwanza yaani maeneo kama hayo yalinganishe na usagara huko maana hata nyegezi ni pazuri kuliko city center yenu
Arusha na Mwanza zote linapokuja swala la mipango Mji ni madampo tuu.

Pili mada ni Dodoma naona mnataka kuhamisha magoli,Uzi wa Arshad vs Mwanza upo nenda mkatoane maudenda kule.

Back to topic,Dodoma inaendelea Kupeleka moto Kwa hivyo Vijiji vya Wavuvi 😁😁

8/8 Agricultural Exhibition Centre-DodomaπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C71bGN8PuXk/?igsh=YzRyYzZ0N3lxMnh2

View: https://youtu.be/55l2y4uIaUY?si=ruPYTew3OS_pIF4l
Screenshot_20240604-210518.jpg
Screenshot_20240604-210529.jpg
Screenshot_20240604-210540.jpg
Screenshot_20240604-210553.jpg
Screenshot_20240604-210604.jpg
Screenshot_20240604-210648.jpg
Screenshot_20240604-210811.jpg
Screenshot_20240604-210840.jpg
Screenshot_20240604-210857.jpg
Screenshot_20240604-210908.jpg
Screenshot_20240604-210938.jpg
Screenshot_20240604-210952.jpg
Screenshot_20240604-211003.jpg
Screenshot_20240604-211015.jpg
Screenshot_20240604-211032.jpg
Screenshot_20240604-211048.jpg
Screenshot_20240604-211210.jpg
Screenshot_20240604-211222.jpg

Note: The same render itajengwa Mbeya.
 
Back
Top Bottom