Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hakuna ubishi tena ,Mwanza ni underdog Kwa Dom πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Nje ya hapo City Centre ni dampo.

By the way Mwanza mnatakiwa Kumshukuru sana Rais Samia maana ndani ya miaka yake hii 4 amewajengea Vyuo Vikuu takribani 4

1.TIA-Misungwi
2.DIT-Ilemela
3.Ardhi University -Sengerema
4.IRDP-Kisesa

Hapo ni Nje ya miradi mingine,Shujaa wenu alikuwa analeta porojo zisizo na maana πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/mofURT/status/1835334639738626318?t=82fTNAlgWSLA1k4liK0o-Q&s=19

View: https://youtu.be/7TI4y1p8eVE?si=YGfURpq8-79a_pGd
 
Hakuna kitu hapo Kwa mwanza

Mwanza ndo Jiji langu pendwa Niko dar huku ila akili yangu IPO mwanza halafu wale njuka wanaibeza sgr imeshabisha hodi tayari tungoje baadae ya miaka mitano mwanza itakuwa fireee sana
 
Mwanza huijui wewe Jiji tamu sana tunawapiga kote kote
 

Attachments

  • FB_IMG_1726489687380.jpg
    68.8 KB · Views: 5
  • FB_IMG_1726489673857.jpg
    61.6 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1726489654202.jpg
    73.9 KB · Views: 4
Muwe na heshima na Jiji la mwanza mkubwa mkubwa tu mwanza haibebwi sana serikali kama Arusha na Dodoma ila moto wake Sasa duuh kama hujawahi fika mwanza fika kabla hujafa uache kumbukumbu nipo Dar ila akili yangu IPO mwanza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 

Attachments

  • FB_IMG_1726489687380.jpg
    68.8 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1726489673857.jpg
    61.6 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1726489654202.jpg
    73.9 KB · Views: 4
Mwanza ndo Jiji langu pendwa Niko dar huku ila akili yangu IPO mwanza halafu wale njuka wanaibeza sgr imeshabisha hodi tayari tungoje baadae ya miaka mitano mwanza itakuwa fireee sana
Si utoke Sasa huko Dar uende Mwanza kupata kansa uone moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…