Feke b kidume
Senior Member
- Sep 13, 2024
- 138
- 73
Unajifurahisha sana mwanza mziki mwingine naipenda mwanza sana kuliko mji wowote Tanzania π π π π π π π π πHadi 2025 mwanza ishapotea kwenye map ..watasumbua population tu
Yani mwanza inaizidi Arusha population sio maendeleo
Na wewe unatuchosha na hutu tugorofa twako 3 .Unajifurahisha sana mwanza mziki mwingine naipenda mwanza sana kuliko mji wowote Tanzania π π π π π π π π π
π πLeta takwimu,Mwanza inapiga nje ndaniπππMwanza imekatwa kutoa geita na Simuyu mwaka 2013 ila bado kipigo kiko pale pale na Dar washukuru Mwanza kukatwa la sivyo na yenyewe ingekaa.Ukweli ni kwamba Dodoma bado sana itakiwa ikajipime kwa Arusha na Mbeya then ndo ije kwa Mwanza na Dar.
Huto tugorofa 3 twa kuokoteza hapo Mjini kati ndio tunakutoa maudenda?Sasa hili jengo ndo useme hakuna kitu kama hichi Mwanza?
Wewe unaumwa kama sio mgonjwa wa kiakili!
Angalia hapo project hizo zote hakuna mradi wa shirika wala serkali ni watu binafsi na hiyo ndo tofauti ya Mwanza na Dodoma View attachment 3097463View attachment 3097462View attachment 3097467View attachment 3097468
Wewe unategemeq serkali ndo ijenge mji?Huto tugorofa 3 twa kuokoteza hapo Mjini kati ndio tunakutoa maudenda?
Dom zinajengwa zaidi ya hizo,TCRA building pekee itafunika hizo tajataka zote.
Kwa Sasa Size ya Mwanza ni Mbeya
Wivu π π π π mwanza onHuto tugorofa 3 twa kuokoteza hapo Mjini kati ndio tunakutoa maudenda?
Dom zinajengwa zaidi ya hizo,TCRA building pekee itafunika hizo tajataka zote.
Kwa Sasa Size ya Mwanza ni Mbeya
Visingizio fc ππππWewe unategemeq serkali ndo ijenge mji?
Kwa hiyo Dodoma mpaka wizara na taasisi waamue kujenga ndo tuone ujenzi?
Siku taasisi na wizara zikikamirisha ujenzi hapo Dodoma itakuwaje?
Bado sana una akili za kijima!
Vipi mbons Mbeya ni kama kijiji kama serkali ina drive maendeleo?Visingizio fc ππππ
In fact Govt ni driver Mkuu wa Maendeleo popote,si Dar Wala Arusha au hata huko Mwanza sembuse Dodoma HQ?
Iko hivyo Kwa sababu hakuna mkono wa Serikali kama huko kwingine.Vipi mbons Mbeya ni kama kijiji kama serkali ina drive maendeleo?
Uwekezaji wa watu ni muhimu ndo wajenzi na walipa kodi!
Hayo majengo ya serkali bila walipa kodi huwezi kuyaona kwa hiyo nguvu ya Mwanza kwa sehemu kubwa ni Wananchi!
Kaka acha utoto bhasi! Hayo mjengo hayana hata mvuto unayaleta hapa kufanya nini? Jengo lipo tu linazungukwa na takataka vijumba vya udongo!Iko hivyo Kwa sababu hakuna mkono wa Serikali kama huko kwingine.
Harafu Mbeya sio ya baridi kama unavyodhani,wenyeji wake wanajenga Jiji lao , Serikali ikiongeza Nguvu mambo itanoga zaidi.
Mbeya ππ
View attachment 3097616View attachment 3097617View attachment 3097618View attachment 3097619View attachment 3097620View attachment 3097621View attachment 3097622
Yenye mvuto ni yapi labda? Yamekamilika Hadi yawe na mvuto? Vile vijengo umeweka vya pale City centre unavyodia ikifika gorofa ya 6 utaleta vina mvuto? Acha ujinga basi.Kaka acha utoto bhasi! Hayo mjengo hayana hata mvuto unayaleta hapa kufanya nini? Jengo lipo tu linazungukwa na takataka vijumba vya udongo!
Yaani Mbeya ni Zero hata Iringa ni bora mara Mia kuliko Mbeya!
unachekesha sana aisee...eti hizo graphics ni picha za Mwanza πππ.Naona umeipumzisha ID yako ya sikuzote umekuja na ID nyingine.....joined last week πππWivu π π π π mwanza on View attachment 3097590View attachment 3097591View attachment 3097592
Ujenzi wa Mji Mkuu duniani kote tangu lini ukaishaππ...Abuja Nigeria tangu mwaka 1991 mpaka leo bado inajengwa,Ankara Uturuki tangu miaka ya 1930 mpaka leo bado unajengwa,Brasilia Brazil tangu miaka ya 1960 mpaka leo bado unajengwa, Yamoussoukro Ivory Coast tangu miaka ya 1980 mpaka leo bado unajengwa n.k Kilasiku taasisi+idara mpya za serikali zinaanzishwa ukijumlisha na kuongezeka kwa population ujenzi wa mji mkuu ni suala endelevu sio la kuisha leo wala kesho.Siku taasisi na wizara zikikamirisha ujenzi hapo Dodoma itakuwaje?
Dodoma inakua Kwa kasi au inakuzwa kwa kasi kwa kupewa miradi kibao ya Maendeleo na serikali kuu mpaka vitu ambavyo vinatakiwa vifanywe na Halmashauri ya Jiji huku Mwanza, Manispaa ya Ilemela na jiji Mwanza zikipambana Kwa mapato Yao ya ndaniMkuu ni suala la muda maana Dodoma inakuja kwa kasi ya 5G huku Mwanza inachechemea
Wewe hujawahi kufika Dom ndiomana unabwabwaja ngonjera zako .Kama umewahi kukanyaga hata sikumoja tuambie huu uwekezaji Dom ni wa private au serikali..ππAngalia hapo project hizo zote hakuna mradi wa shirika wala serkali ni watu binafsi na hiyo ndo tofauti ya Mwanza na Dodoma
Acha utoto wa mwanza yupo dar wa dar yupo mwanza tunategemeana nipo huku Kwa mishe za chuo tu nikimaliza narejea home mwanzaSi utoke Sasa huko Dar uende Mwanza kupata kansa uone moto
Sijui nikujibu au basiYenye mvuto ni yapi labda? Yamekamilika Hadi yawe na mvuto? Vile vijengo umeweka vya pale City centre unavyodia ikifika gorofa ya 6 utaleta vina mvuto? Acha ujinga basi.
Mbeya ππ
View: https://x.com/Visitmbeya/status/1833446432818290690?t=Qjl0aedFiwED5jF29YZDfA&s=19