Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ni jambo jema Kwa Dodoma ila sio sawa Kwa sababu hapa Tanzania Jiji la Kimataifa ni Arusha so ilitakiwa Jengo Hilo likajengwe huko huko Arusha Ili kulinda hadhi ya Arusha👇👇

View: https://x.com/TimesTanzania/status/1842997523411292584?t=E2hPRevZXaMqZeN7CBOcfQ&s=19
 
😀😀Mwanza mtaa pekee ambao unaweza kusema asilimia miamoja ni wa kishua labda Kapri point. Kwingine kote hakueleweki hata ile mitaa michache yenye ubora nayo imechanganyika na uswazi. Ukija kwa Dom hali ni tofauti manake Dom mitaa ambayo unaweza kusema ni uswahilini ni michache kwamfano Chaduru,Mkalama,Chang'ombe,Kizota,na baadhi ya maeneo ya Swaswa basi.Mitaa mingine yote iliyobaki mfano Uzunguni,Tambukareli,Area A,Area C,Area D,Area E,Mlimwa C,Oysterbay,Mji Mpya,Nkuhungu,Ipagala,Kisasa,Magereza,Nyumba 300,Iyumbu,Miyuji Proper,Hazina,Kinyambwa Extension,Chidachi,Ilazo,Kilimani n.k imepangiliwa kwa ubora wa hali ya juu huwezi kulinganisha na mtaa wowote Mwanza kulikojaa slums hadi milimani😀😀.
 
Hueleweki naona unahamisha hamisha tu magoli😀😀hakuna anayekataa kwamba Mwanza inaizidi Dom population hilo lipo wazi. Ukitoa population hakuna kingine chochote Mwanza inachozidi Dom...hilo Ziwa ni natural feature hata Musoma,Nansio,Bukoba,Kigoma lipo sijawahi kuona Kigoma au Musoma wakisema wamewazidi Dom kwasababu ya uwepo wa Ziwa🤣🤣🤣
 
Taaaaaaaratibu utaivaa kama maharage battle ni ya mwanza na Dodoma hizo sijui musoma na kigoma zinaingiaje hapa mwanza ni jiji tamu sana lenye view Kali ya ziwa ukiwa mitaa ya kishua kama Bwiru ,kapripoint na Luchelele kwa kutaja mifano michache tu Dodoma unaikuza kwa wale wasioijua hiyo Dodoma ukiwa unatokea mwanza ndo unauanza mji duuh aibu jamani naiona Mimi mji imekaa shagala bagala unachofanya ni kuunga unga maneno ila za uso lazima uendelee kuzipata😆😆😆😆
 
Hii ngese nayo ilishakalili caprpoint tu, kama hujui mwanza kuna i mitaa kibao inaikarisha hiyo caprpoint
 
Dodoma imepangwa mdomoni labda humo ndani ndani ni balaa mtupu slums zimejaa mji. Mkavu hautamaniki kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…