Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

View attachment 3118234

Ni jambo jema Kwa Dodoma ila sio sawa Kwa sababu hapa Tanzania Jiji la Kimataifa ni Arusha so ilitakiwa Jengo Hilo likajengwe huko huko Arusha Ili kulinda hadhi ya Arusha๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://x.com/TimesTanzania/status/1842997523411292584?t=E2hPRevZXaMqZeN7CBOcfQ&s=19
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Mwanza mtaa pekee ambao unaweza kusema asilimia miamoja ni wa kishua labda Kapri point. Kwingine kote hakueleweki hata ile mitaa michache yenye ubora nayo imechanganyika na uswazi. Ukija kwa Dom hali ni tofauti manake Dom mitaa ambayo unaweza kusema ni uswahilini ni michache kwamfano Chaduru,Mkalama,Chang'ombe,Kizota,na baadhi ya maeneo ya Swaswa basi.Mitaa mingine yote iliyobaki mfano Uzunguni,Tambukareli,Area A,Area C,Area D,Area E,Mlimwa C,Oysterbay,Mji Mpya,Nkuhungu,Ipagala,Kisasa,Magereza,Nyumba 300,Iyumbu,Miyuji Proper,Hazina,Kinyambwa Extension,Chidachi,Ilazo,Kilimani n.k imepangiliwa kwa ubora wa hali ya juu huwezi kulinganisha na mtaa wowote Mwanza kulikojaa slums hadi milimani๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.
 
Acha ushamba unachukua picha Moja iyo iyo unaipost mara mia mia tuna sehemu za ziwa zenye upepo tulivu kuliko hapo ukameni umekomaa na Mita ya Igogo nimekwambia mwanza ndo jiji la pili kwa mapato na fursa baada ya Dar na ndo jiji la pili kwa kuwa na domestic air flights nyingi baada ya Dar Sasa kama hapo ukameni Kuna mzunguko wa kibiashara iweje hampo kwenye ramani za usafirishaji abiria na mizigo ,,,watu wengi wanakimbilia mwanza kujitafuta kimaisha pia mwanza IPO karibu na nchi nyingine za maziwa makuu hiyo ni advantage kubwa sana kiuchumi tuna daraja refu zaidi Afrika ya kati tuna stendi mbili za mabasi Kali tuna meli kubwa kupita meli zote katika maziwa makuu tuna stesheni mbili za sgr ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†Kuna upanuzi wa bandari ya mwanza south na Ile ya kamanga Kuna mipango wa njia nane barabara ya busisi Hadi mjini pia jiji linazidi kukua na kuongezeka ushihidi ni population ya mwanza kuizidi ya Dodoma majengo ya sekta binafsi yapo yanajengwa mengi sana pia mwanza ndo jiji lenye nyumba nyingi zaidi zinazoendelea kujengwa kiasi cha kulingana na Dar laki nane mwanza na Dar laki nane rejea sensa ya mwaka 2022 pia tuna upanuzi wa airport na ujenzi wa airport lounge Kali sana ikiwemo ujenzi wa hotel Kali ya nyota Tano bado tuna Mita mingi ya kishua kuliko hapo ukame town najua utafuta pa kakimbia shikilia Uzi ili nikupe uso na huu ndo ukweli mchungu ambao vilaza kama nyinyi hampendi kuusikia ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€nacheka kimapoooozi kabisa
Hueleweki naona unahamisha hamisha tu magoli๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€hakuna anayekataa kwamba Mwanza inaizidi Dom population hilo lipo wazi. Ukitoa population hakuna kingine chochote Mwanza inachozidi Dom...hilo Ziwa ni natural feature hata Musoma,Nansio,Bukoba,Kigoma lipo sijawahi kuona Kigoma au Musoma wakisema wamewazidi Dom kwasababu ya uwepo wa Ziwa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Taaaaaaaratibu utaivaa kama maharage battle ni ya mwanza na Dodoma hizo sijui musoma na kigoma zinaingiaje hapa mwanza ni jiji tamu sana lenye view Kali ya ziwa ukiwa mitaa ya kishua kama Bwiru ,kapripoint na Luchelele kwa kutaja mifano michache tu Dodoma unaikuza kwa wale wasioijua hiyo Dodoma ukiwa unatokea mwanza ndo unauanza mji duuh aibu jamani naiona Mimi mji imekaa shagala bagala unachofanya ni kuunga unga maneno ila za uso lazima uendelee kuzipata๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Unatia huruma maskini poleeeeee ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
Kati yangu na wewe nani anatoa huruma? ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Screenshot_20241008-193403.jpg
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Mwanza mtaa pekee ambao unaweza kusema asilimia miamoja ni wa kishua labda Kapri point. Kwingine kote hakueleweki hata ile mitaa michache yenye ubora nayo imechanganyika na uswazi. Ukija kwa Dom hali ni tofauti manake Dom mitaa ambayo unaweza kusema ni uswahilini ni michache kwamfano Chaduru,Mkalama,Chang'ombe,Kizota,na baadhi ya maeneo ya Swaswa basi.Mitaa mingine yote iliyobaki mfano Uzunguni,Tambukareli,Area A,Area C,Area D,Area E,Mlimwa C,Oysterbay,Mji Mpya,Nkuhungu,Ipagala,Kisasa,Magereza,Nyumba 300,Iyumbu,Miyuji Proper,Hazina,Kinyambwa Extension,Chidachi,Ilazo,Kilimani n.k imepangiliwa kwa ubora wa hali ya juu huwezi kulinganisha na mtaa wowote Mwanza kulikojaa slums hadi milimani๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.
Hii ngese nayo ilishakalili caprpoint tu, kama hujui mwanza kuna i mitaa kibao inaikarisha hiyo caprpoint
 
Dodoma imepangwa mdomoni labda humo ndani ndani ni balaa mtupu slums zimejaa mji. Mkavu hautamaniki kabisa
 
Back
Top Bottom