Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dodoma is overated kwa ground bado sana, cha maana hapo ni mji wa kiserikali mtumba
 
Dodoma mitaa smart ni ile yenye nyumba za serikali tu kama ilazo kwingineko mitaani hali ni mbaya sana
Unachekesha sana naona unaendelea kujifariji tu...Ilazo kuna nyumba gani za serikali😀😀.Dom mitaa yote imepimwa na kupangiliwa. Ukija Mwanza ni kichekesho imagine ikitokea ajali ya moto mitaa kama igoma,igogo,nyakato hata gari la zimamoto haliwezi kufika.Ukija kule juu milimani kwenye vijumba na vibanda sijui hata kama kuna mfumo wa majisafi na majitaka🤣🤣
 
Yaani unavyoipamba Dodoma utafikiri IPO Marekani kwamba hatuijui 🤣🤣🤣una ushamba mpaka unakera mwanza licha ya support ndogo ya serikali bado itaendelea kuwashika achana na jiji la sangara wewe lemi ongara mwenyewe aliimba mwanza ooh mwanza jiji linakua Hadi basi hatuna shida na tujengo twa hisani sie huku ni midude ya watu binafsi hivi mwanza ikapewa support ya serikali kama Dodoma sijui itakuwaje huwa najiuliza hili swali sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Eti igoma unaijua au unaropoka tu?
 
Kwa taarifayako Remmy Ongala amewahi kutunga nyimbo mbili zinazosifia Dodoma 1. Jamani dodoma 2.Amisa.
Naomba unisaidie kujibu hili swali hiyo serikali inayosupport maendeleo ya Dom City ni ya nchigani Rwanda,Sudan au Burundi🤣🤣🤣
 
Kwa taarifayako Remmy Ongala amewahi kutunga nyimbo mbili zinazosifia Dodoma 1. Jamani dodoma 2.Amisa.
Naomba unisaidie kujibu hili swali hiyo serikali inayosupport maendeleo ya Dom City ni ya nchigani Rwanda,Sudan au Burundi🤣

Kwa taarifayako Remmy Ongala amewahi kutunga nyimbo mbili zinazosifia Dodoma 1. Jamani dodoma 2.Amisa.
Naomba unisaidie kujibu hili swali hiyo serikali inayosupport maendeleo ya Dom City ni ya nchigani Rwanda,Sudan au Burundi🤣🤣🤣
Dodoma siitakagi kabisa kwa jinsi palivyo ilivyo Bora hata morogoro 🤣🤣🤣🤣Tena mara mia
 
Kwa taarifayako Remmy Ongala amewahi kutunga nyimbo mbili zinazosifia Dodoma 1. Jamani dodoma 2.Amisa.
Naomba unisaidie kujibu hili swali hiyo serikali inayosupport maendeleo ya Dom City ni ya nchigani Rwanda,Sudan au Burundi🤣🤣🤣
Sasa who is Remmy Ongala,?. Fid Q hajawahi kuimba mwanza mwanza wewe ndo kichwa panzi kabisa ulisababisha nikapigwa ban.
 
Wekeni porojo pembeni twendeni na reality we are ready kuwajibu na muwe tayari kutujibu pia.
 
Sasa who is Remmy Ongala,?.
Muulize huyo mwenzako aliyesema Remmy ameimba kuhusu Mwanza.Mimi nimempa facts ambazo alikua hazijui😂😂kuwa Dom imetungiwa nyimbo nyingi tu za kuisifia
 
Yaani unavyoipamba Dodoma utafikiri IPO Marekani kwamba hatuijui 🤣🤣🤣una ushamba mpaka unakera
Sifayangu humu JF huwa ninajibu facts+hoja zilizoenda shule....hiyo michambo mipasho,matusi,porojo,ngonjera hizo peleka facebook ndio level zako😀😀😀
 
Sifayangu humu JF huwa ninajibu facts+hoja zilizoenda shule....hiyo michambo mipasho,matusi,porojo,ngonjera hizo peleka facebook ndio level zako😀😀😀
Facts za maneno maneno ni kupoteza muda tu. Haya mwanza is better than Dodoma and this is a fact.
 
Muulize huyo mwenzako aliyesema Remmy ameimba kuhusu Mwanza.Mimi nimempa facts ambazo alikua hazijui😂😂kuwa Dom imetungiwa nyimbo nyingi tu za kuisifia
Hata moro jazz walitunga nyimbo nyingi tu kuhusu morogoro na dsm. Uzianze ubishoo uchwara wa kusema hiyo nayo ni fact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…