Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dodoma pambaneni kwanza na kina Mbeya, Morogoro ndiyo level zenu!
 
Attachments

  • 952f7a3f49394c95bcd162e83d18d212.jpg
    952f7a3f49394c95bcd162e83d18d212.jpg
    24.9 KB · Views: 3
ngoja nizoom kule juu mlimani nijione slums za kutosha...aibu sana kwa Mwanza iliyopewa hadhi ya jiji tangu miaka ya 2000
Utahangaika sana kwenye makazi mwanza tunakimbizana na DSM, nyie ombeni kwanza msaada serikali itoe kodi kwenye bati ili mtoe huo uchafu wa matembe.
 
Wingi WA maghorofa.. ripoti ya NBS ishamaliza kazı ..maana tumewapiga mbali mno ..haya tuache kuangalia vighorofa ..leta ghorofa aka skyscrapers 12+tower
Nipatie hiyo ripoti ya NBS inayoonesha wingi wa maghorofa kwa kila mji,manispaa,jiji apa Tanzania tumalize ubishi
 
Utahangaika sana kwenye makazi mwanza tunakimbizana na DSM, nyie ombeni kwanza msaada serikali itoe kodi kwenye bati ili mtoe huo uchafu wa matembe.
vile vibanda kama vya nguruwe kule mlimani umeviona au hujaviona... yaani hakuna hata system ya majitaka🤣🤣

Wenzenu Dom mitaa yao imepangiliwa hadi rangi za mapaa ya nyumba zipo kwenye mfanano maalum kamavile Soweto,Johannesburg 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DBF5GDcplLr/?igsh=eXhicDF0ZnN4cjk5
 
Nipatie hiyo ripoti ya NBS inayoonesha wingi wa maghorofa kwa kila mji,manispaa,jiji apa Tanzania tumalize ubishi
Wk🥳 kwamba maghorofa 2700 ya Mwanza yapo magu au sengerema 🤡🤡..halafu nyie yale 1000 ni zile bweni zenu 🤡🤡🤡
 
Huko shule ulienda kusomea ujinga au...🤣🤣.
Swali liko palepale nioneshe ripoti ya NBS inayoonesha idadi ya maghorofa kwa kila mji,mji mdogo,manispaa,jiji apa Tanzania tumalize ubishi. Sitaki porojo nataka hizo facts na details🤣🤣
 
View attachment 3125095
Jua kali kama mko kwenye tanuru 🤡🤡🤡🤡🤡
Kama hali ya hewa ni kigezo cha kupima ubora wa mji basi Lushoto,Njombe,Mafinga,Makete zingeshapewa hadhi ya Jiji tangu zamani..😀😀.Dom wamewakalisha Mwanza kila idara saizi mmebakia kujificha kwenye kichaka cha Ziwa Victoria na hali ya hewa 😂😂
 
Huko shule ulienda kusomea ujinga au...🤣🤣.
Swali liko palepale nioneshe ripoti ya NBS inayoonesha idadi ya maghorofa kwa kila mji,mji mdogo,manispaa,jiji apa Tanzania tumalize ubishi. Sitaki porojo nataka hizo facts na details🤣🤣
Wew unatumia basis gan ya kusema Dodoma mna ghorofa nyingi 😁😁
 
Sina ushabiki maandazi kama wewe.Nimeishi na kufanya kazi kwenye majiji yote Dom na Mwanza ..nayajua "in" and "out".Ninachokisema ni reality +facts sio ushabiki.
Chukulia kwa mfano mmoja tu wa UDOM pamoja na colleges zake zote saba+utawala mkuu kuna maghorofa zaidi ya 100 ukilinganisha hii inazidi idadi ya maghorofa yote yaliyopo Mwanza City Centre .
 
Huko shule ulienda kusomea ujinga au...🤣🤣.
Swali liko palepale nioneshe ripoti ya NBS inayoonesha idadi ya maghorofa kwa kila mji,mji mdogo,manispaa,jiji apa Tanzania tumalize ubishi. Sitaki porojo nataka hizo facts na details🤣🤣
Akuletee nani wewe shule yako inakusaidia Nini . Mbuzi wa sikukuu kabisa
 
Sina ushabiki maandazi kama wewe.Nimeishi na kufanya kazi kwenye majiji yote Dom na Mwanza ..nayajua "in" and "out".Ninachokisema ni reality +facts sio ushabiki.
Chukulia kwa mfano mmoja tu wa UDOM pamoja na colleges zake zote saba+utawala mkuu kuna maghorofa zaidi ya 100 ukilinganisha hii inazidi idadi ya maghorofa yote yaliyopo Mwanza City Centre .
Acha uongo COED tu yenye hostel nyingi ina blocks 25, pale CIVE napo kuna blocks 6 sasa hizo mia unazosema sijui unazitolea sayari gani? Halafu huko udom napo ni CBD?
 
Wewe unasumbua watu kwa ujinga wako, umeletewa takwimu za maghorofa Kutoka NBS Dodoma imechakazwa. Umeanza kuleta habari za CBD hapo hapo unaitaja UDOM na magugulili city kama si mbumbumbu basi kondoo lisilo na mkia. Una fact zipi kuzidi vyanzo halali vya kiserikali acha kutujazia porojo humu. Mwanza ni dude jingine magufuli city na udom zisikuzuzue bwana mdogo.
 
Na unaweza kuishi mahala ukaondoka na mentality zako za kijinga. Kuelewa kunahitaji dhamira na utayari.
 
Acha uongo COED tu yenye hostel nyingi ina blocks 25, pale CIVE napo kuna blocks 6 sasa hizo mia unazosema sijui unazitolea sayari gani? Halafu huko udom napo ni CBD?
Jumlisha maghorofa yote ya CNMS,COed,Chimwaga,Cive,Social,Humanities,Utawala mkuu,TIBA,College of Earth Science n.k alafu uje hapa😀😀
 
Wewe unasumbua watu kwa ujinga wako, umeletewa takwimu za maghorofa Kutoka NBS Dodoma imechakazwa. Umeanza kuleta habari za CBD hapo hapo unaitaja UDOM na magugulili city kama si mbumbumbu basi kondoo lisilo na mkia. Una fact zipi kuzidi vyanzo halali vya kiserikali acha kutujazia porojo humu. Mwanza ni dude jingine magufuli city na udom zisikuzuzue bwana mdogo.
Wewe unabishana na mimi ilimradi uonekane na wewe umejibiwa na "genius" kama mimi😀😀.
Swali liko palepale nioneshe takwimu za NBS zinazoonesha idadi ya maghorofa kwa kila mji,manispaa na jiji apa Tanzania.
Sitaki takwimu za kiujumla za kimkoa ...mkoa wa Mwanza una halmashauri nane sasa unaleta takwimu za mkoa mzima unataka kulazimisha ziwe za Mwanza Jiji.Kamavp anzisha thread mpya ya Mwanza RC vs Dodoma RC tutakuja kuchangia huko kwa hizo takwimu😂😂😂😂😂
 
Kama za kiujumla umepigwa ambamo magufuli city na udom zimo utawezana na hicho unachokidai. Leta takwimu zako mwenyewe ndo ukaze fuvu. Hatuishi kwa kwa namna unavyoimagine. Hapa hubishani na watoto wenzio kama unatakwimu ungezisogeza kuhalalisha kile unachokisema. kwa namna nilivyo watu kama wewe mnaingia kumi. Unabishana bila takwimu na kukaza bichwa kwa vitu vidooogo. Leta takwimu basi usituaminishe tumaini unavyoamini. Mambo hayapimwi kijinga namna hiyo. Bishana kwa takwimu.
 
Jumlisha maghorofa yote ya CNMS,COed,Chimwaga,Cive,Social,Humanities,Utawala mkuu,TIBA,College of Earth Science n.k alafu uje hapa😀😀
Kijana mbona unarukaruka kama maharage! UDOM ipo CBD?
 
Back
Top Bottom