Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wew ni kajinga eti eh .
Toa upuuzi wako ..Hilo bweni lako unaloliita hotel ...limejaa vikumbi vya harusi .😁😁

Si unataka parking..sisi unapata parking + good breeze + amazing green environment mambo ambyo Dodoma huwezi yapata ..ndio maana watalii wa kizungu hawapendi kulala Dodoma maana ni kubaya
 
Swali lipo palepale nitajie hoteli yoyote Mwanza yenye ukubwa(square meters) wa eneo kama wa St Gaspar Hotel Dom yenye conference centers nyingi within one area na yenye uwezo wa kuhost magari zaidi ya 1000 parking kwa wakati mmojaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huna unalojua wew ...yaani hiyo st gasper kahotel kabaya kweli hapo kisasa ...
Umehitaji space na parking nimekutumia malaika resort nyota 4
Hapo sijakutumia Ryan bay hotel ,isamilo grands ,adden palace
 
Nimetumia kiswahili rahisi tu ukubwa- square meters na capacity ya parking acha kuruka ruka ....nataka jibu
 
Nimetumia kiswahili rahisi tu ukubwa- square meters na capacity ya parking acha kuruka ruka ....nataka jibu
Leta vipimo vya square meters vya st gasper hostel 😁
 
Dom ndio Ina mtandao mkubwa wa Barabara za jiji kuliko Mwanza fishing market.

Mwisho usifananishe Barabara za kitaa za za Dom ambazo ni Pana na nzuri na hizo locals za huko kwenu.
Mtandao wa barabara wa mdomoni
Au kwenye tumbo lako au
 
Dom ndio Ina mtandao mkubwa wa Barabara za jiji kuliko Mwanza fishing market.

Mwisho usifananishe Barabara za kitaa za za Dom ambazo ni Pana na nzuri na hizo locals za huko kwenu.
πŸ˜€πŸ˜€Kumuelimisha mjinga ni kazisana...hivi kuna mtu yoyote asiyejua Dom ina mtandao mpana wa barabara za lami.
Huyu jamaa na wenzake ndiomana huwa nawadharau sana wanaishia kuokoteza vipicha na kupost hawana facts zozote.
 
Nimetumia kiswahili rahisi tu ukubwa- square meters na capacity ya parking acha kuruka ruka ....nataka jibu
Kwani st Gaspar nayo ni hotel ya kutamba nayo, kuwa na akili basi hatuko kuzungumzia kumbi za harusi hapa.
 
πŸ˜€πŸ˜€Kumuelimisha mjinga ni kazisana...hivi kuna mtu yoyote asiyejua Dom ina mtandao mpana wa barabara za lami.
Huyu jamaa na wenzake ndiomana huwa nawadharau sana wanaishia kuokoteza vipicha na kupost hawana facts zozote.
Aliyekuzuia kupost picha ni nani huna ubavu wa kumpangia mtu Nini Cha kufanya uwe na mipaka ya makasiriko lofa wewe
 
Aliyekuzuia kupost picha ni nani huna ubavu wa kumpangia mtu Nini Cha kufanya uwe na mipaka ya makasiriko lofa wewe
Nenda kwenye thread yako uliyojianzishia na wenzako πŸ‘‡πŸ‘‡

Nikuulize wewe certificate yako ya community development IRDP uliisomea wapi....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sijasoma kozi nyepesi kama hizo we fala, usipate wenge na ukaweweseka. Kifupi Mimi na wewe ni watu wawili tofauti kabisa. Tu kwasababu hapa tunapumzikia usifikiri tunafanana. Toa utahira huo kichwani mwako
 
Kaanzishe ya kwako na wewe usinipangie boya wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…