Nje ya CBD pia pako poa tu maeneo machache yale ya zamani kama igogo na mabatini ndio hayako pouwa sana,Nje ya hapo CBD kuna zile dream houses zenu 😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje ya CBD pia pako poa tu maeneo machache yale ya zamani kama igogo na mabatini ndio hayako pouwa sana,Nje ya hapo CBD kuna zile dream houses zenu 😆😆
Wakati unapost idadi ya maghorofa ya udom kumbe yalikuwa CBD?Una kiwango gani cha elimu isije nikawa nabishana na darasa la sita 😂😂..Hili daraja lipo Mwanza CBD eti...🤣🤣🤣🤣🤣
Kinachowapa maumivu watu wa Mwanza ni hiki kinachoendelea Dodoma HQ 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBRm56SN8gz/?igsh=MWVrNDJsYnBmdXVycg==
UChafu tu hapoChoiceVariable CBD ya Dodoma ni kichekesho, bora hata kule kwenu Wanging'ombe
Si tulikubaliana Mwanza inajengwa na private sector hakuna mbeleko ya Serikali kama Dom...vp tena😀😀😀View attachment 3129141NHC Buswelu
Vigorofa vya taasisi na outer ring mzee masare vinamchanganya halafu anafikiri Majiji mengine yamelala, uzuri Samia scheeme project Soon inabisha hodi Nyumba 3000,kama za magomeni kotaHawa vijana siyo wazima kabisa, yani hii ndiyo CBD iliyofunguliwa thread, Dodoma bado safari ni ndefu sana.
nini hiki🤣🤣
Nikiwaambia leta vitu kama hivi huko Mwanza is Slum itakuwa ugomvi 😆😆👇👇
Acha kulia Lia,jibu swali Lini mtafika level hizi? 😆😆👇👇Vigorofa vya taasisi na outer ring mzee masare vinamchanganya halafu anafikiri Majiji mengine yamelala, uzuri Samia scheeme project Soon inabisha hodi Nyumba 3000,kama za magomeni kota