Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mkuyuni Fish market, KO nyingine
IMG-20241016-WA0016.jpg
 
Hapa bado Project moja ipo kwenye pipe line, inaitwa Uboreshaji wa mto mirongo, hapa jiji litakua kama upo Europe baada ya kukamilika project hii.
 
Ahaa kwahiyo sasa unakubaliana na hojayangu ya msingi kwamba Mwanza hakuna hoteli yoyote yenye ukubwa wa square meters kama St Gaspar Dom na capacity ya parking zaidi ya magari 1000 kwa wakati mmoja.
Wana vile vi gesti gesti vilivyobanana hapo CBD ndio wanaita Hotel 😆😆

Typical uswazi mentality 😁😁
 
Ahaa kwahiyo sasa unakubaliana na hojayangu ya msingi kwamba Mwanza hakuna hoteli yoyote yenye ukubwa wa square meters kama St Gaspar Dom na capacity ya parking zaidi ya magari 1000 kwa wakati mmoja.
Achana na hiyo st Gaspar tuna mahekaru ya hotel yanaambaambaa mwambao wa ziwa Victoria, Hapa nakupa St Dominic, inakuchakaza, hotel linaambaa kuanzia kama jamatini nenda mpaka sabasaba huko
 
Njegengwa,msikilize mtangazaji hapo Utajua hujui 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DAIaFwaOpuQ/?igsh=bzI4MTdkZDdjbHAy

Miradi ya ujenzi wa maghorofa unaoendelea Njedengwa Investment Area ikiwemo ile ya NSSF, pamoja na ujenzi wa hq za TCRA,Bodi ya Kahawa,TIRA,TPA n.k ikikamilika Dom itakua Dubai ndogo ya Afrika.
Mkuyuni Fish market, KO nyingine View attachment 3129207
😀😀on paper....utekelezaji mpaka Uchaguzi Mkuu upite
 
Achana na hiyo st Gaspar tuna mahekaru ya hotel yanaambaambaa mwambao wa ziwa Victoria, Hapa nakupa St Dominic, inakuchakaza, hotel linaambaa kuanzia kama jamatini nenda mpaka sabasaba huko
Kupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi..😂😂😂
 
Miradi ya ujenzi wa maghorofa unaoendelea Njedengwa Investment Area ikiwemo ile ya NSSF, pamoja na ujenzi wa hq za TCRA,Bodi ya Kahawa,TIRA,TPA n.k ikikamilika Dom itakua Dubai ndogo ya Afrika.

😀😀on paper....utekelezaji mpaka Uchaguzi Mkuu upite
Nasubiria Kwa hamu sana TCRA HQ maana ndio itakuwa iconic building ya Dom
 
Miradi ya ujenzi wa maghorofa unaoendelea Njedengwa Investment Area ikiwemo ile ya NSSF, pamoja na ujenzi wa hq za TCRA,Bodi ya Kahawa,TIRA,TPA n.k ikikamilika Dom itakua Dubai ndogo ya Afrika.

😀😀on paper....utekelezaji mpaka Uchaguzi Mkuu upite
Acha wivu mzee 🤣mkandarasi kashakabiziwa site hapo tuna hesabu miezi 18
 
Achana na hiyo st Gaspar tuna mahekaru ya hotel yanaambaambaa mwambao wa ziwa Victoria, Hapa nakupa St Dominic, inakuchakaza, hotel linaambaa kuanzia kama jamatini nenda mpaka sabasaba huko
Zaidi ya Maika iliyotuchosha Hadi macho Kuna nini kingine Cha maana? Nssf wamegoma kumalizia hofu lao pale Mjini kati? 😁😁
 
Acha wivu mzee 🤣mkandarasi kashakabiziwa site hapo tuna hesabu miezi 18
Wewe unachekesha ,tumitadi huto twa masoko ndio ufananishe na mamiradi ya Magorofa ya mataasisi yanayoendelea Dom?

Unajitahidi kujifariji 😆😆
 
Kupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi..😂😂😂
Shida mwanza hujui ndio maana unahangaika, Nenda sent Dominica kama unataka picha nikurushie chapu, hotel kubwa hekalu camp sites za kutosha ndani
 
Zaidi ya Maika iliyotuchosha Hadi macho Kuna nini kingine Cha maana? Nssf wamegoma kumalizia hofu lao pale Mjini kati? 😁😁
Hili ndilo tatizo lenu mmeshakalili kama mlivyokalili caprpoint street endeleeni kujifariji, Dodoma itakachoizidi mwanza ni Majengo ya serikali tu, halafu kichaka chenu, kujengewa nyumba za makazi na TBA, NHC, kinaenda kufumliwa soon, maana jamaa TBA mwanza wamechukua maeneo mengi na baadhi ya project zishaanza Gana wana project ya 8blocks mpaka sasa mbili zinaenda kuisha, bado eneo la kigongo aka jpm darajai, Samia scheeme hiyo nayo ishatua kwa flats 3000,
 
Mimi ni mkazi wa Mwanza,Mwanza inazidiwa na Arusha ,Mwanza kinachoisaidia ni population.Mwanza & Arusha zote zimisha pitwa na Dodoma.
Acha kujivika ukazi wa mwanza wakati hata mwanza hupajui eti Arusha mara Dodoma mwanza haiingii ...mwanza jiji tuna halmashauri mbili zinazounda jiji ilemela na nyamagana tafuta nje ya Dar kama Kuna jiji limesambaa kama mwanza unajitekenya halafu unacheka mwenyewe mshamba wewe Toka hapa mbulula 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom