Feke b kidume
Senior Member
- Sep 13, 2024
- 138
- 73
Maskini unaaibisha nchi Dodoma hii au Kuna Dodoma nyingine Burundi huko ....morogoro yenyewe nzuri kuliko hiyo Dodoma ni uchafu ..Dar hii ambayo mie ndo nipo muda huu ni kuikosea heshima kulinganisha na ukameni a.k.a jangwani village unatia huruma sana 🤣🤣🤣🤣 Mwanza ni jiji na ndo jiji nataka niweke makaoJiji pekee linaizidi Dodoma ni Dar na ni upande wa maghorofa ya Kariakoo na Posta,but after 30 years to come Dar utapitwana Dodoma.
Kumbuka kuwa 3/4 ya maghorofa yalipo Posta ni mali ya Serikali.Huwezi shindana na mahali ambapo Fedha zinaanzia kutoka