Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Unajitekenya na kucheka mwenyewe yaani fanani na hadhira ni wewe mwenyewe.😂😂
Niletee picha ya Dom CBD inayoinclude Majengo,One way,barabara ya 6 hadi barabara ya 10,Moshi Avenue,Mpwapwa flats road,CDA hq,Mtendeni street,Chef Asili,Uhindini,TAKUKURU hq,CWT hq,former wizara ya Maji, former Wizara ya Uchukuzi n.k 👇👇

View: https://x.com/Hakingowi/status/1106552666845560835

Mbona kijengo cha kawaida sana hiki au ndo ushamba wenyewe🤣🤣🤣
 
Leta CBD, we si ulisema watu wanaleta picha ya jengo Moja Moja zuri. Sasa usijitoe akili lenyewe la kawaida sana Hilo.
Dom HQ Hii hapa 👇
Screenshot_20241019-171339.jpg

View: https://youtu.be/iXOuFS0gCJc?si=I-LN02NURn1uwGDe
 
Uzi unasemaje huko juu, Je ni kweli Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?. Mpaka hapo mmeshasarenda basi vita ihamie mitaani sasa ambako ndiko mmeona kichaka cha kujifichia, Tuanze na mtaa kwa mtaa sasa, 1.CAPRPOINT Vs KISASA
2.Malaika vs
3.Bwiru press vs
4.Ibanda vs
5.Mwananchi vs
6.Nyegezi majengo vs
7.Buswelu vs
8.Nyamhongoro vs
9.Luchelele ziwani vs
10.kiseke vs
11.Buhongwa musabe vs
12.Nyasaka vs
13.Isamilo vs
14.kiloleli
15.Mihama
16.Mahina
17.Shadi
Mitaa ni mingi sana siwezi orodhesha yote wana Dodoma anzeni kupachika vitaa vyenu humo sasa
Weka hapa Video au picha za hiyo Mitaa ya mabanda ,mbona ya Dom tunaweka?

Dom HQ 🔥🔥👇👇
Screenshot_20241019-171339.jpg

View: https://youtu.be/iXOuFS0gCJc?si=I-LN02NURn1uwGDe
 
Huyo aloanzisha Uzi ni mgeni jf, na kaanzisha jana, kwa hulka zenu za kingese mmoja wenu anaweza kuwa ameanzisha na akauquote hapa. Ni kama huu Uzi Kuna falo Moja kaanzisha na tunaishi Naye humu, childish
Watangazaji wa Kimataifa Huwa wanaenda kurekodi picha Dar,Arusha na Dom sijawahi ona wakienda Mwanza Kwa sababu hakuna Cha kurekodi watachafua media zao 😂😂😂
 
Watangazaji wa Kimataifa Huwa wanaenda kurekodi picha Dar,Arusha na Dom sijawahi ona wakienda Mwanza Kwa sababu hakuna Cha kurekodi watachafua media zao 😂😂😂
Chuki kwa mwanza itakuua Diamond platnumuz wa kimataifa alirekodi Ngoma yake ya Nyegezi Nyegezi mwanza wewe unaongea Nini mshamba wewe🤣🤣🤣🤣
 
Chagua mtaa tuanze battle la mtaa kwa mtaa mie nimekuanzishia Capri one Vs Kisasa, come on
😂😂Mabatini,Igogo,Buzuruga,Igoma,Nyerere B utalinganisha na mitaa gani Dom.Dom hata mitaa ya uswahilini kwamfano Chang'ombe,Chaduru,Mkalama iko far better kimpangilio kuliko mitaa mingi tu Mwanza🤣🤣
 
Watangazaji wa Kimataifa Huwa wanaenda kurekodi picha Dar,Arusha na Dom sijawahi ona wakienda Mwanza Kwa sababu hakuna Cha kurekodi watachafua media zao 😂😂😂
Watangazaji wapi Naye acha ulofa yaani online tv za watu unaita watangazaji jaribuni kuwa na akili japo kidogo. Online tv zipo kila mahala hata chagamba na Mzee said wamejulikana kwa ajili hiyo. Usiwe mshamba kiasi hicho.
 
😂😂Mabatini,Igogo,Buzuruga,Igoma,Nyerere B utalinganisha na mitaa gani Dom.Dom hata mitaa ya uswahilini kwamfano Chang'ombe,Chaduru,Mkalama iko far better kimpangilio kuliko mitaa mingi tu Mwanza🤣🤣
Buzuruga unaijua wewe
 
Diamond 😆😆😆😆

Tukisema nyie ni maskini muwe mnaelewa yaani Leo hii ndio mnapata Benki ya PBZ? 😆😆👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBLHYtetNQN/?igsh=ODI4YWFzOTFzOTU=

Ila mwamba we mshamba sana habari yenyewe inaeleza mwanza ndo miongoni mwa mikoa ya mwanzo kufunguliwa hiyo benki ya Zanzibar Arusha bado haijafika hata hapo ukameni village haijafika kwa mjibu wa habari naona unatafuta chaka la kujificha sikuachi za uso zinakuhusu tu hakuna namna🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ilikuwepo Mbeya kabla ya Mwanza 🤪🤪👇👇

View: https://x.com/Visitmbeya/status/1843644627666235764?t=q3GO49Z59eu3lRTYzLM3KA&s=19

Mwisho PBZ Iko Dom kitambo sana.

Kiufupi Mwanza Kuna maskini Benki zinajikongoja kuja.
 
Back
Top Bottom