Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hii ipo Tanga

Hii ipo Arusha

Hii kwa sasa ipo Dar

Hii ipo Mbeya
Unaumwa kweli unafikiri UDSM ipo dar peke yake hata huko mbeya ipo. Kamapala ipo Uganda ila gongolamboto utaikuta. Kuna main offices na sub offices
 
Unaumwa kweli unafikiri UDSM ipo dar peke yake hata huko mbeya ipo. Kamapala ipo Uganda ila gongolamboto utaikuta. Kuna main offices na sub offices
Nilikwambia ukiwa huna facts utaumbuka tu humu ona mshamba mwenzako anataja radio stations za Tanga,Arusha na Mbeya anasema ni za Mwanza😂😂😂😂
 
Mnaongelea vitu vidogo vidogo sana ndo maana nawaambia hamuelewi mnabishana kama watoto.
images (46).jpeg

Bugando cardiac institute tunaclear site
Twendeni mtaelewa tu
 
Nilikwambia ukiwa huna facts utaumbuka tu humu ona mshamba mwenzako anataja radio stations za Tanga,Arusha na Mbeya anasema ni za Mwanza😂😂😂😂
Wewe ni boya na haujanielewa nilichomaanisha nilipokuqoute.
 
Mwanza ina benki nyingi sana siwezi kuzihesabu iyo benki ya Zanzibar ilikuwepo tangu zamani sana mie kabla sijaondoka mwanza niliwahi kwenda hiyo benki IPO karibu na Belmont hotel barabara ya Kenyatta na ilikuwa 2018 sema Rais wa Zanzibar alikuwa hajaizindua hakuna kitu kitatoka Dar kiiruke mwanza eti kiende mkoa mwingine hiyo haipo 🤣🤣🤣🤣
Ilikuwepo tangu zamani ndio Mwinyi akaja Kuzindua juzi si ndio? 😆😆😆

An insane argument
 
1.passion fm
2.kiss fm
3.mazingira fm
4.living water fm
5.lake fm
6.afya fm
7.Radio free Africa
8.iqra fm
9.city fm
10.redio kwa neema fm
11.ushindi fm
12.saut fm hii ni ya chuo saut
13.metro fm
14.huruma fm
15.hhc alive fm
16.pasiasi fm
17.amani fm
18.mwongozo fm
19.wema fm
20.shalom fm
Hivyo ni baadhi katika vingi

Haya magazeti
1.mzawa
2.mwelekeo
3 la tatu mwana mwanza aje anikumbushe nimelisahau kidogo ila lipo Hilo gazeti

Television Tena kubwa ni
1.Star tv hii ina coverage nchi nzima kuliko tv yoyote ya hapo ukameni village
2.Barmeda Tv. Wana mwanza wanajua utamu wa hii kitu.
4.cables za kumwaga oooh Dodoma inatia huruma🤣🤣🤣🤣🤣
Dom TV zipo ikiwemo tv ya Jiji ,zingine kama ngasatv nk Sina hakika kama ni online au laa but ziko kibao tuu.
 
Asee wewe nenda akasome kwanza , unajua maana ya CBD
Simple tuu ni Central Business District.Acha ushamba wa kisukima na kukariri.

Ndio nakwambia Sasa Magufuli City ni another CBD in the making na Kwa taarifa Yako tuu upon completion Kila kitu unachokiona Mjini Kwa Sasa kitakuwepo huko Mtumba tofauti ni kwamba huko kuko planned and organized na Kila activity itakuwa sehemu yake.

Najua hujui unazuzuka Kwa kudhani ni purely government city.

Mwisho another CBD in the making,Ndejengwa Investment Area 👇👇
808C7E13-9DCC-4A6E-94D3-27604D924882.jpeg

View: https://youtu.be/j4awzGBkCV8?si=fO_xcHAX38GOnHda
 
View attachment 3130462

View: https://youtu.be/j4awzGBkCV8?si=fO_xcHAX38GOnHda

Kama ni upcoming CBD sisi tusemeje kuhusu Ghana
IMG-20240929-WA0031.jpg
IMG-20241005-WA0011.jpg
IMG-20240923-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom