Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hii ipo Tanga

Hii ipo Arusha

Hii kwa sasa ipo Dar

Hii ipo Mbeya
Unaumwa kweli unafikiri UDSM ipo dar peke yake hata huko mbeya ipo. Kamapala ipo Uganda ila gongolamboto utaikuta. Kuna main offices na sub offices
 
πŸ˜‚Gwambina complex ipo Misungwi.
Malya ipo Kwimba .
Unataka Dom walete viwanja vilivyopo mbali mfano Mtera huko🀣🀣
Magufuli city ipo CBD mbona mnakuwa wajinga. Tunaenda na jinsi mnavyojikanyaga
 
Unaumwa kweli unafikiri UDSM ipo dar peke yake hata huko mbeya ipo. Kamapala ipo Uganda ila gongolamboto utaikuta. Kuna main offices na sub offices
Nilikwambia ukiwa huna facts utaumbuka tu humu ona mshamba mwenzako anataja radio stations za Tanga,Arusha na Mbeya anasema ni za MwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilikwambia ukiwa huna facts utaumbuka tu humu ona mshamba mwenzako anataja radio stations za Tanga,Arusha na Mbeya anasema ni za MwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe ni boya na haujanielewa nilichomaanisha nilipokuqoute.
 
Ilikuwepo tangu zamani ndio Mwinyi akaja Kuzindua juzi si ndio? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

An insane argument
 
Dom TV zipo ikiwemo tv ya Jiji ,zingine kama ngasatv nk Sina hakika kama ni online au laa but ziko kibao tuu.
 
Asee wewe nenda akasome kwanza , unajua maana ya CBD
Simple tuu ni Central Business District.Acha ushamba wa kisukima na kukariri.

Ndio nakwambia Sasa Magufuli City ni another CBD in the making na Kwa taarifa Yako tuu upon completion Kila kitu unachokiona Mjini Kwa Sasa kitakuwepo huko Mtumba tofauti ni kwamba huko kuko planned and organized na Kila activity itakuwa sehemu yake.

Najua hujui unazuzuka Kwa kudhani ni purely government city.

Mwisho another CBD in the making,Ndejengwa Investment Area πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/j4awzGBkCV8?si=fO_xcHAX38GOnHda
 
Kama ni upcoming CBD sisi tusemeje kuhusu Ghana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…