Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ukitaka kuamini Dodoma ni useless
Utaona wanapost maeneo Yale Yale ..
NHC iyumbu, magufuli city ,udom ,ilazo ,ofisi za serikali njendengwa na ofisi za taasisi tambukareli 😁😁😁

Wambie wapost maeneo mengine yasiyo mbeleko za serikali utacheka utalia ...
Upcoming kichapo Cha mbwa mwitu ..tunatakaa huu Uzi muwe mnachungulia tu ..maana mwanza sio level za matumbulu desert
Kumbe mbeleko ya Serikali ipo hadi Kisasa,Magereza,Uzunguni,Kilimani,Area E,Area D,Medeli East,Uhindini,Hazina,Chidachi,Itega,Kinyambwa Extension,Miyuji Proper,Area C,Mji mpya,Iringa road,oysterbay n.k......rudi shule aisee😂😂😂
 

Naona dreamhouses hapo nyuma 😁😁

Ndio mnaanza kupanga saizi kwamba mumechoka na mabanda?

Pangeni kwanza ndio mje ku post

Dom HQ 👇👇
Screenshot_20241020-110226.jpg
 
1.passion fm
2.kiss fm
3.mazingira fm
4.living water fm
5.lake fm
6.afya fm
7.Radio free Africa
8.iqra fm
9.city fm
10.redio kwa neema fm
11.ushindi fm
12.saut fm hii ni ya chuo saut
13.metro fm
14.huruma fm
15.hhc alive fm
16.pasiasi fm
17.amani fm
18.mwongozo fm
19.wema fm
20.shalom fm
Hivyo ni baadhi katika vingi

Haya magazeti
1.mzawa
2.mwelekeo
3 la tatu mwana mwanza aje anikumbushe nimelisahau kidogo ila lipo Hilo gazeti

Television Tena kubwa ni
1.Star tv hii ina coverage nchi nzima kuliko tv yoyote ya hapo ukameni village
2.Barmeda Tv. Wana mwanza wanajua utamu wa hii kitu.
4.cables za kumwaga oooh Dodoma inatia huruma🤣🤣🤣🤣🤣
Jembe fm
 
Back
Top Bottom