Mtaokota sana hivi vitu huko google na hamfikiIhumwa Satellite City,Dom HQ π₯π₯ππ
View: https://youtu.be/apyKBxKVUhA?si=Sx5Lyz2Vr8utL-UG
Only available in Dom vibrant City sio local Town like Mwanza
ππππππππ Nimecheka.
Sema huna Cha kuonesha ,Mwanza ni local ,poor and disorganized City ndio maana huwezi Kuta Real estates company huko na by the way hakuna wateja ππ
View: https://youtu.be/tJG714FjIdo?si=Nkw9wQDxaG-LJFBV
Ihumwa Satellite City,Dom HQ π₯π₯ππ
View: https://youtu.be/apyKBxKVUhA?si=Sx5Lyz2Vr8utL-UG
Only available in Dom vibrant City sio local Town like Mwanza
Vibrant City with shriving real estates business in DOM HQ ππ
View: https://youtu.be/BSDEvenG6mE?si=6fOpHmX2TZi074bJ
Bado hujasema Hadi useme π€£ π€£ π π
View: https://youtu.be/fps8or3fJb8?si=TSWRMfESmgHjrcel
Kumbe mbeleko ya Serikali ipo hadi Kisasa,Magereza,Uzunguni,Kilimani,Area E,Area D,Medeli East,Uhindini,Hazina,Chidachi,Itega,Kinyambwa Extension,Miyuji Proper,Area C,Mji mpya,Iringa road,oysterbay n.k......rudi shule aiseeπππUkitaka kuamini Dodoma ni useless
Utaona wanapost maeneo Yale Yale ..
NHC iyumbu, magufuli city ,udom ,ilazo ,ofisi za serikali njendengwa na ofisi za taasisi tambukareli πππ
Wambie wapost maeneo mengine yasiyo mbeleko za serikali utacheka utalia ...
Upcoming kichapo Cha mbwa mwitu ..tunatakaa huu Uzi muwe mnachungulia tu ..maana mwanza sio level za matumbulu desert
Huwezi kuona wakipost "layout" ya mtaa wote kama hii huwa wanaokoteza picha za nyumba nzurinzuri tu ndiomana hazina background kule juu milimaniπππDom HQ ππ
View: https://youtu.be/dK4KV8Dr6Jg?si=S7kkQHJh9SrUKO24
Mkuu utateseka sana ,Dom ilishavuka level za kuwa local kama Mwanza ππ
View: https://youtu.be/Ys8gKKWny8E?si=LdSQo0A0xhKKqEW7
Leta hapa view ya mtaa sio unatuwekea kajumba kamoja kamoja ππ
View: https://youtu.be/9szW-HBcUlE?si=ML0ZJT33Up-yFJO_Buzuruga.km 8 kutoka mjini ..
Jaribu kutoka km 8 kutoka Dodoma kama hujakutakana na vichaka ,wanyamapori jangwa na vumbi
Naona dreamhouses hapo nyuma ππ
Hiyo picha inayoonesha hapo ndio Ardhi imepimwa na hiyo ndio ramani au?
View: https://youtu.be/kUybFmRUYws?si=Wm2OcfaTgHwr0jCvMipango miji ipo kila mahala, mwaka mmoja umepita nenda eneo Hilo leo ukapigwe butwaa
6 years back nenda leo ukainjoi maishaNaona dreamhouses hapo nyuma ππ
Ndio mnaanza kupanga saizi kwamba mumechoka na mabanda?
Pangeni kwanza ndio mje ku post
Tuliza wenge kwanzaHiyo picha inayoonesha hapo ndio Ardhi imepimwa na hiyo ndio ramani au?
Typical high density plots equals to Slums extension π€£π€£
Walau wewe ndio umejikakamua kuweka video ya kwanzaKm 16 kutoka mjini ..
Jaribu kutoka km 10 toka doma ukame ..utakutana na machaka ya kutisha , jangwa
View: https://youtu.be/GEAOjWJd1g4?si=Wp_AwPWc5tdmPicuMusabe
Leta video6 years back nenda leo ukainjoi maisha
Naona centre ya Kijiji ππWalau wewe ndio umejikakamua kuweka video ya kwanza
Dom over 20km
View: https://www.instagram.com/p/DBHZbl8Nq4l/?igsh=ZjJ1bW9hYnQxYTly
Jembe fm1.passion fm
2.kiss fm
3.mazingira fm
4.living water fm
5.lake fm
6.afya fm
7.Radio free Africa
8.iqra fm
9.city fm
10.redio kwa neema fm
11.ushindi fm
12.saut fm hii ni ya chuo saut
13.metro fm
14.huruma fm
15.hhc alive fm
16.pasiasi fm
17.amani fm
18.mwongozo fm
19.wema fm
20.shalom fm
Hivyo ni baadhi katika vingi
Haya magazeti
1.mzawa
2.mwelekeo
3 la tatu mwana mwanza aje anikumbushe nimelisahau kidogo ila lipo Hilo gazeti
Television Tena kubwa ni
1.Star tv hii ina coverage nchi nzima kuliko tv yoyote ya hapo ukameni village
2.Barmeda Tv. Wana mwanza wanajua utamu wa hii kitu.
4.cables za kumwaga oooh Dodoma inatia hurumaπ€£π€£π€£π€£π€£