ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mwanza ikashindane na Mbeya kwanza,Dom na Arusha sio size yake ππ
Mama anaendelea kujenga Mwanza kuliko Shujaa wenu wa mchongo ππππ
Weka kitu Cha uhakika sio makaratasi na matamanio Yako ππ
Weka kitu Cha uhakika sio makaratasi na matamanio ππ
Sasa mbona sijaona maelezo ya hatua iloyofikiwa zaidi ya mchoro tu kitakavyokuwa(render) kweli uandishi wa Habari Tanzania ni cancer sugu
Kazi inaendelea huko Nala na KigomaSasa mbona sijaona maelezo ya hatua iloyofikiwa zaidi ya mchoro tu kitakavyokuwa(render) kweli uandishi wa Habari Tanzania ni cancer sugu