ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Jangwani 😆😆👇👇Hata mpande miti milioni 150 bado mtabaki jangwa
View: https://youtu.be/q0-iWTNJON0?si=fv6DKUu51Db2hVNF
Jangwani 😆😆👇👇Hata mpande miti milioni 150 bado mtabaki jangwa
Unaokoteza picha ambazo zilipendwa sio? 😂😂
NSSF Tower Dodoma.
5 Star Hotel & Multi purpose Commercial Complex
About 150bln to be used 🔥🔥🔥👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DDzoKKvidhJ/?igsh=MXcxeWtuNGx5cGs2ag==
View: https://youtu.be/X6gaZ2kliUE?si=Sz2t1NcLtPuWOvj3View attachment 3181218View attachment 3181219
Kwa kitu hicho Dom HQ imezima rasmi makelele ya washamba wa Mwanza & na wavuta Bangi wa Arusha 😆😆Baya
Floor 16 unatishia naniKwa kitu hicho Dom HQ imezima rasmi makelele ya washamba wa Mwanza & na wavuta Bangi wa Arusha 😆😆
Mwanza na Arusha ,wote mlikuwa mnalingia majengo marefu ya Serikali Sasa Dom imewafikia.Floor 16 unatishia nani
Majengo marefu yanazidi kuota Dom HQ 👇 👇
View: https://youtu.be/aHBa9kHUeGc?si=UMQiKUbEOtY5HkqK