Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umeishiwa hoja sasa umeamua kuleta "vioja"😆😆.Samaki Dodoma wanapatikana kwa wingi Bwawa la Mtera,Hombolo,Bahi,Dabalo,mto kinyanguku👇👇Karibu mwanzaView attachment 3198894
😁😁😁Samaki tope hao ndo maana mmedumaa akiliNaona umeishiwa hoja sasa umeamua kuleta "vioja"😆😆.Samaki Dodoma wanapatikana kwa wingi Bwawa la Mtera,Hombolo,Bahi,Dabalo,mto kinyanguku👇👇
Orodha ya mito ya mkoa wa Dodoma - Wikiwand
Orodha ya mito ya mkoa wa Dodoma inataja kwa mpangilio wa alfabeti baadhi tu ya mito ya eneo hilo la Tanzania ya kati.Mto Amazee Mto Basua Mto Bihawana Mto Bubu...www.wikiwand.com
Only in Dom....in natural setting 👇👇Animal feeding spot .. Dodoma hamna vitu km hv
View attachment 3198934
Majengo yote marefu ya Dar,Mwanza,Arusha yanamilikiwa/ni uwekezaji wa taasisi za serikaliDodoma tatizo watu binafsi hawawekezi sana kwenye kujenga majengo marefu tofauti na Dar,Mwanza na Arusha
Mwanza Kuna majengo marefu yapi?Dodoma tatizo watu binafsi hawawekezi sana kwenye kujenga majengo marefu tofauti na Dar,Mwanza na Arusha
Ukitumwa mipango miji utapeleka hizo kambi za wakimbizi ..ebu Rudi shule kwanzaDodoma kwenye mipangomiji hawana mpinzani..Mwanza waende kujifunza tu.Cheki ubora huu 👇
View attachment 3200939View attachment 3200939View attachment 3200940
Leta miradi ya maana sio kuokoteza tumajengo tulitokwama miaka na mikaka huko 😂😂Mwanza haijengwi alisikika mgogo mmoja toka matumbulu
View attachment 3200934