Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

[emoji16][emoji16] kwamba kuna utawala watu wanaenda kumyang'anya capripoint kwa nguvu!......mkuu to be honest kwa sasa moja ya sehemu tamu mwanza ni Kiseke B, na Buswelu
Nyasaka pia ni ya moto.
 
Kiongozi hii mbona ni kama imeshaanza kujengwa na sasa ni final touch ipo capripoint nyuma ya idara ya maji, nenda katembelee utaniambia.
Nilisikia inajengwa tayari ila siko mza kwa sasa. Ukipata muda zungukia huko
 
Screenshot_20220116-212812.png

Usiku mwema
 
Opportunity nilishakuzoea ukiona battle limekushinda unanza kutuma hii picha ambayo ni duplicated, kila sehemu dunian kuna makazi ya watu duni, lkn Mwanza ukitoa hilo eneo tuma picha nyingine tofauti na hiyo.
Excuses baada ya kuonyesha slums za kwenye vimilima vyenu.

Huwezi Kuta uchafu kama huo Dom
 
Kwa hiyo wewe peke yako ndio unauona huo uchafu? [emoji16][emoji16]

Kwanza Mwanza nzima kuna hata apartments kweli?

Dom kama Dom [emoji116]

View attachment 2084190

View attachment 2084191

View attachment 2084192

View attachment 2084193

View attachment 2084194

View attachment 2084195

View attachment 2084196
Umekosa picha unapost Hadi picha za Mwanza...naona umepost Hadi kemondo round about Mwanza...


Huku Dodoma ni pakichovu sana kuanzia chakula,Hali ya hewa na malazi....




Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Dodoma kumekua sana na kuanza kuizidi Mwanza yenye makazini duni huko vilimani
 
Dodoma ni pazuri, itaipiku arusha mda c mrefu, ila kwa mwanza bado sana, sio mjini tu ata mitaani mwanza ni pazuri sana kushinda miji yote Tz
Dar haihusiki
 
Back
Top Bottom