ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Si ajabu hii Nchi matapeli Huwa wanajilia pesa za Bure Kwa kujifanya watu walio jirani na Viongozi au usalama maana imejaa majitu maoga yasiyotumia akili Wala kujitambua.Tahadhari. Linki za Choicevariable zinakusanya taarifa zako.
💥💥Dom is the safiest city in Africa....👇👇
Nothing special.....Mikdde Nilikwambia Mtumba ni new CBD ukawa unabisha kwa povu tele😁😁
Soma maelezo ya awamu ya pili yatahusu ujenzi wa nini harafu uje tena Kuandika pumba zako 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DFx6ExXt1Ra/?igsh=YTBiZHM1eXU2d2ln
Unaumia kimya kimya 😁😁Nothing special.....
Yaani uumie kwa government townUnaumia kimya kimya 😁😁
Hatuwezi tena? 😁😁Yaani uumie kwa government town
Huo ni mji wa taasisi za serikali hauwezi na kuwa na impact kwenye macroeconomics ya mkoa wa Dodoma.......
Kwani si hata kulikuwa na majengo ya wizara,, baada ya serikali kuhama mbona dar haijateteleka
Hayo majengo yakishaisha ujenzi huo mji haitajengwa tena!Mikdde Nilikwambia Mtumba ni new CBD ukawa unabisha kwa povu tele😁😁
Soma maelezo ya awamu ya pili yatahusu ujenzi wa nini harafu uje tena Kuandika pumba zako 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DFx6ExXt1Ra/?igsh=YTBiZHM1eXU2d2ln
Huko shule ulienda kusomea ujinga au...aliyekwambia ujenzi huwa unaisha nani😀😀. Ujenzi wa mji mkuu ni ishu "dynamic" kamwe huwa hauishi...kuna taasisi mpya zitaanzishwa,kuna maboresho,kuna ukarabati,kuna ongezeko la idadi ya watu,kuna ongezeko la huduma,kuna ongezeko la mahitaji mengine.Hayo majengo yakishaisha ujenzi huo mji haitajengwa tena!
Hayo majengo pia sio ya biashara ni maofisi kama ilivyo posta Dar es Salaam ukiangalia majengo ya wizara hayana innovation tokea yajengwe!
Kwa hiyo ujue kabisa huo mji wa kiserkali ukishajengwa hauna ukuaji mwingine ni maofisini tu na hakuna economic benefit zozote hata kwa Halmashauri ya mji!
Hujaelewa wewe kiazi ni services based infrastructures not economic based infrastructures acha ushamba🤣🤣🤣🤣🤣Huko shule ulienda kusomea ujinga au...aliyekwambia ujenzi huwa unaisha nani😀😀. Ujenzi wa mji mkuu ni ishu "dynamic" kamwe huwa hauishi...kuna taasisi mpya zitaanzishwa,kuna maboresho,kuna ukarabati,kuna ongezeko la idadi ya watu,kuna ongezeko la huduma,kuna ongezeko la mahitaji mengine.
Abuja wameanza kujenga mji mkuu tangu miaka ya 1990 mpaka leo bado unajengwa.
😀😀na hii ndio kwanza awamu ya kwanza ,mpaka ikifika awamu ya tatu taasisi zote zikiwa zimehamia Dom full house naona ataumia sana.Unaumia kimya kimya 😁😁
Tanroads wanafanya kazi nzuri sana+ ubunifu wa kimataifa Dom 👇👇
😀😀Utasikia Mikdde anakwambia eti Dom hakuna miti,ni jangwa,kuna ukame,hakuna mvua,hakuna ukijani👇👇
😀😀Utasikia Mikdde anakwambia eti Dom hakuna miti,ni jangwa,kuna ukame,hakuna mvua,hakuna ukijani👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DF2TronMe4Y/?igsh=bHQ4ZXhnYWhmdDBn